sijui kimeo hiki cha foleni dar kitang'olewa lini... maana dah!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Haujaweka picha wewe mzee

    ReplyDelete
  2. Barabara chache sana mjini, mnaona muhimu ni majumba tu.
    Pitisheni mabarabara juu juu na chini chini.

    ReplyDelete
  3. Hakuna ujanja hapo, ama njia zibadilishwe ziwe One ways kama ile barabara ya Samora (Enzi zile Independence Avenue),au nyumba zibomolewe kuongeza njia kabla hajaja mchizi kutuwekea Congestion charges!

    ReplyDelete
  4. foleni ndio kukua kwa mji kwenyewe.London foleni kali mpaka wameweka charges kwa kuingia na gari central.mliisikia habari ya afisa wa ubalozi wa marekani aliyekaa kulipia charges za kuendesha central london kwa sababu yeye ni diplomat?

    ReplyDelete
  5. Michuzi unazuga, wamepaki msibani hao

    ReplyDelete
  6. Tatizo li mji hili halina mpangilio!hovyo kabisa.Halafu kila mtu anataka gari limpeleke mpaka mlangoni ofisini.ndio maana vitambi vingi!wanadhani ni sifa kuonekana ndani ya gari

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...