ohoooo, noma katikati ya jiji...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Huyu dereva fala kweli, kweli kwa mtu mwenye akili utapaki gari hapo, hata aibu hana. Wacha akalipe fine then atashika adabu

    ReplyDelete
  2. kaishiwa mafuta jamani. we unafikiri kununua gari kama hiyo hata hela ya mafuta ilibaki kweli??. pole mwe! siku nyingine nunua Corolla Limited

    ReplyDelete
  3. Hawa watu wa maegesho ma fala sana kwani wao mambo ya wrong parking yanawahusu nini?wao wakiona umepark sehemu wao hawawezi kulipisha wanafunga tu....washenzi sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...