
kuna wadau wamehoji kwa nini kipanya kapotea ghafla, na wengine walinituhumu kwamba nimepigwa mkwara. jibu ni kwamba kp yuko ughaibuni anakula zake holidei hadi wiki ijayo na stoki alonachia imeishia zake. hivyo basi kwa heshima na taadhima naomba tuvute subira hadi ataporejea. hapo juu kp yuko na wadau wa huko sehemu sehemu...
hakuna swala la ughaibuni wala nini......kipanya kabanwa tu na bi rahma(mke mpya) sio ughaibuni ila tu ajue sisi tumemis mambo yake kwenye blog jamani.arejeeeeeeee
ReplyDeletekabanwa huyo na bi rahma........
ReplyDeleteMasudi,KP Mzima unavaa kama x-mas tree!! siamini
ReplyDeleteMichuzi ninashukuru kwa hii picha kwani ninaona watu ambao nilipotezana nao zaidi ya dikedi na ushee.
ReplyDeleteBabu uliyevaa tai nyekundu hapo hebu nicheki kwenye email mrefund@yahoo.com--mimi ni mshikaji wako wa long time.Kama wewe ni Shaibu Hood hebu nitumie email haraka sana.
acha kamba issa, umepigwa mkwara na bwana mdogo na yeye ameogopa na kutokemea ughaibuni.
ReplyDeletejamani yaani mmeshangaa utafikiri manajiandaa kupokea kumunio ya kwanza! ahaa jamani!
ReplyDeletejamani,ughaibuni gani hiyo?mbona hayo maspika kama ya ukumbi wa ddc pale kariakoo?
ReplyDeletembona huyo kp karembua hivyo?ndio bi rahma nini kamwambia siku hizi awe anarembua?
ReplyDeletesio bi rahma,jamani ni bi salma liumba.
ReplyDeleteKP!,
ReplyDeletehiyo suti yako umeipaka rangi ya NYUMBA???? Ka mcheza shooo...
Unajua sasa ninaanza kuquestion haya mavazi ya kipanya
ReplyDeleteJana niliona hii picha nikaona bora niwe kimya lakini bwana HTA, lazima tuseme kwani sie wazaramo midomo mali yetu
Kipanya kwanza Umegain WEIGHT ile kinoma na hiyo siyo sifa
Pili inawezekana ikawa bi Rahma anakusort out na misosi minono lakini kwa kweli naona mama naye anakuangusha
Utavaaaje hivi uko kama wale wanaopiga matarumbeta ya harusini au ndio mambo ya Isindingo?
Halafu kuna umuhimu next time safari ya JK huku UK uchukue wewe maana huyo michuzi kashafaidi vya kutosha ...njoo utoe tongo tongo unakaa bongo mpaka unaona mambo kawaida! duh noma
Njoo hapa ukae walau miezi 6 na kukulipua tutakulipua
kumbe mke wa masoud anaitwa salma liumba??? ina maana baba yake ni mzee liumba au mume wake wa kwanza alikuwa anaitwa liumba. Tukija kwenye issue ya kuvaa kwakweli yule dada mwenyewe hajui kuvaa sehemu kibao anazokwenda anavaa ili mradi avae kwahiyo msishangae akashindwa kumshauri mumewe, masoud alikuwa anapendeza kipindi cha nargis na fanci bwana nashangaa dada hafati nyao za wenzake.
ReplyDelete