hayati makochela (wa pili shoto) akiwa na baadhi ya mabrazameni wa ilala kwenye pwani ya kaskazini, hususan hoteli ya rungwe oceanic ambako disko la 110 lilikuwa likiburudisha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. enzi hizo ujanja kuzamia meli ...

    ReplyDelete
  2. enzi hizo ujanja kuzamia meli ...

    ReplyDelete
  3. Picture kali sana ni waka gani?

    ReplyDelete
  4. huyo anaitwa makojozi,mako,kibiriti(makochera)yeye alikuwa anatoka disco town mpaka ilala kwa mguu bila kukabwa sasa wewe jaribu uone men i miss the guy alafu kwa vichekesho yaani kiboko mungu amlaze mahali pema peponi.

    ReplyDelete
  5. Huyu wa kulia mwenye Baret nyekundu kichwani ni Masoud Masoud wakati huo akijulikana kama Niger Jay sasa hivi yuko radio uhuru pia alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Dar wiki hii ITV

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...