kama kuna mabondia walioitangaza bongo kwa ustadi wao basi ni hawa vijana wa familia ta matumla. hapo shoto ni rashidi 'snake boy' akitwangana na bondia toka kwa watani wetu wa jadi. siku hizi anafundisha vijana na bado hajatundika glovu zake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. alikuja huku unyamwezini maja moja tu hajarudi tena alichapwa na katoto fulani hata hakana jina mpaka unamuonea huruma, kweli ndumba halivuki bahari

    ReplyDelete
  2. kuchapwa kawaida, hata Tyson alichapwa na Evander na watu hawakutegemea. Jamaa yuko safi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...