maktaba ya taifa ilivyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Hivi Halmashauri ya Jiji inajua kazi yake? Iweje jengo la Maktaba Kuu ligeuzwe kuwa advertising site? Watanzania hebu tuwe wastaarabu na wafuata sheria, hivi kweli mtu anaweza kuweka bango la matangazo kwa mfano juu ya jengo la wizara? Maktaba ni jengo la public na siyo private property hivyo si sahihi kwa biashara kujitangaza kwenye sehemu kama hizi.

    ReplyDelete
  2. Unajuaje kama hayo matangazo ndiyo yanafinance na kusupport programs tofauti za hiyo maktaba? Lazima nao wapate cha kunywea maji au unafikiri business zitatoa tu pesa kufinance serikali na wasipate marudisho nafikiri ni njia ya kuvutia maendeleo as long as it benefits the library. Ila too much is definitely harmful. Wangekuwa wanawalipisha fees kwa mwezi hao wanaoweka matangazo na kuwa na only few numbers of openings to do that. Point yako hapo juu ni nzuri lakini ina apply kwa nchi za Ulaya siyo bara la tatu.

    ReplyDelete
  3. by the way, I amot happy the way it looks as I am confused!! it doesn't have any features of being a Library. May be now we are concentrating on adding more schools then later we will come back on the Libraries! you never know!because u can not read and understand in a Library like this.U will keep complaining why Tanzania does want to read books while we have a Libraries!

    ReplyDelete
  4. by the way, I amot happy the way it looks as I am confused!! it doesn't have any features of being a Library. May be now we are concentrating on adding more schools then later we will come back on the Libraries! you never know!because u can not read and understand in a Library like this.U will keep complaining why Tanzania does want to read books while we have a Library!

    ReplyDelete
  5. Wewe annoy hap juu acha ushalimbwenge....Umeingia huko ndani ukaiona kuwa haina mandhari ya kusoma au huwezi kusoma ukaelewa. Kila kitu mnafananisha na nchi zilizoendelea. Shukuru Mungu hata mji unasehemu hii ya makataba. Mkipewa kidogo mnalalamika mkikosa kabisa inakua tabu...Hii ndio makataba mji uwezo wake umefikia hapa. Guys give some credits.....kila kitu ohhh...ahhh.....mbona negative nyingi sana ..... Tuma hela itajenga one according to your standard........you damb ass

    ReplyDelete
  6. ...umefika wakati wa community based library zikisaidiwa na city au halmashauri zao za miji kama watu walivyoamua kujijengea shule zao,maana haya mambo ya kutegemea serikali ikujengee library hatutafika popote

    ReplyDelete
  7. "by the way, I amot happy the way it looks as I am confused!! it doesn't have any features of being a Library"

    Well,it has books doesnt it?As long as there're chairs,tables,n books,I dont see why people shouldnt be able to read and understand..............

    I remember the place,it's kinda near Olympio right?
    Good times :)

    ReplyDelete
  8. ..........by the way, I amot happy the way it looks as I am confused!! it doesn't have any features of being a Library.......


    Huyu mshamba katoka wapi? Labda inawezekana hajui library ni kitu gani na nini kinatakiwa kiwemo ndani.
    Kwa taarifa yako maktaba au LIBRARY, ni sehemu mahususi ya kusoma ambako utakuta vitabu, majarida na viwakilisho vingi ya ki-elimu.

    Tuambie wewe ulidhani maktaba ni kitu?!

    ReplyDelete
  9. ..........by the way, I amot happy the way it looks as I am confused!! it doesn't have any features of being a Library.......


    Huyu mshamba katoka wapi? Labda inawezekana hajui library ni kitu gani na nini kinatakiwa kiwemo ndani.
    Kwa taarifa yako maktaba au LIBRARY, ni sehemu mahususi ya kusoma ambako utakuta vitabu, majarida na viwakilisho vingi ya ki-elimu.

    Tuambie wewe ulidhani maktaba ni kitu?!

    ReplyDelete
  10. Unapofika wakati wa kutoa maoni, inependeza zaidi watu wakatoa maoni kwa Kiswahili lugha ya taifa. Acheni ubabaishaji, mtu anatoa maoni kwa Kiingereza na Kiingereza chenyewe hakikwei.Mtu unaweza kusemaje "It has books,doesn't it?". Kwa mzungu hili ni kosa la jinai. Hii ni sarufi ya darasa la sita, "Tag Questions". Inaelekea wewe uliyeandika hivyo, shule yako ni ndogo. Kuwa huru na lugha yako ya taifa, lugha mama, lugha inayoheshimika Afrika.

    Mabe wa Kivita. Madison-WI. U.S.A.

    ReplyDelete
  11. Sijui siku hizi, ila them days kulikuwa na ndege wanaruka ruka na kunya kunya everywhere. Walishawahi kuninyea vitabu vyangu, but hey that is the situation, better than nothing.

    ReplyDelete
  12. Wanaokandia Library kingereza chenyewe hata hawajui. Wanahitaji kushukuru Mola kwa hata hili jengo na kwenda sana huko kusoma na kuongeza knowledge zaidi...ulivyoandika inaonyesha level ya elimu yako ilivyo ndogo. Kumbuka "What you real own is what you know"

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...