Home
Unlabelled
shule
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi nimeona hilo tangazo hapo nyuma nafikiri ndio mjadala /hoja uliotaka kuwasilisha .Hivi jamani shule za huko Uganda na kenya ni bomba kuliko za kwetu?Mbona tunassikia nyingine ni mbofumbofu na utapeli tu ndio mwingi?Si ni afadhali wazazi wakawapeleka watoto wao shule zenye wiwango hapahapa bongo baada ya kufanya utafiti tosha?Vilevile kazi kwa mama Sita kuhakikisha shule zetu zinakuwa na viwango.Wengi tumesoma shule za bongo na baadaye kuwa gado hata huku ughaibuni ambacho ni kielelezo tosha kwamba shule zetu viwango vikizingatiwa mambo ni mwendo mdundo!!
ReplyDelete