makamu wa rais wa jumuiya ya waafrika waishio nchini malaysia pius mikongoti (shoto, nyuma) akipozi na waafrika toka nchi mbalimbali barani wanaosoma huko mashariki ya mbali. data zinaonesha kuna zaidi ya wanafunzi 300 wa kibongo malaysia pekee

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 15 mpaka sasa

  1. Diana nakuona mdogo...ahahahhhhh

    ReplyDelete
  2. Glady mtoto unazidi kupendaza tu

    ReplyDelete
  3. hi gladys nakuona hapo wa kwanza kushoto waliokaa na kiremba cheupe.
    vipi huko malaysia?

    ReplyDelete
  4. Hayo mapochi mngeyatoa

    ReplyDelete
  5. Hi,Pius nashukuru kukuona kwenye blogu ya michuzi nimimi Ronald rafiki yako wa siku nyingi tuwasiliane kwenye simu hii +358449117970 na email ronald.mkanta@elisanet.fi

    ReplyDelete
  6. I see some people from Mzizi in the pic,shoutout to eryone from Sheby,Mzizi,and DIS doin it big in Malaysia!

    ReplyDelete
  7. Glady....du..lukin' good.....Kumbuka enzi za loyola.....

    ReplyDelete
  8. Kilonzo nakuona hapo.... vipi malaysia? mie mshikaji mkubwa sana wa kaka yako semkae kilonzo.

    ReplyDelete
  9. "maua mazuri yapendezaa, ukiyatazama yanameremetaa, hakuna limoja lisilopendeza!".................

    ReplyDelete
  10. I am not trying to be sarcastic but please can someone help me to understand what are they doing in malaysia ?

    ReplyDelete
  11. Anony 4:58 feb 28th, its none of your business. people go places for different reasons. Remember this is a free world you dumb!!! it is indeed sarcasm and in some ways you must be brain dead.

    ReplyDelete
  12. Watu bwana wakienda Uk wanajiona wako mbinguni, kwa taarifa yako wajanja wote wanakimbilia Mashariki ya Mbali wanabofya tuu huko watu wanakula pepo we endelea kutawaza wazee, hebu rambaza uone kuhusu Malaysia, Singapore, Bangkong, Hongkong etc uone walipo sio unasema tuu, Hey my Dudes do what ur Doing infact nawazimia sana huko mliko, kuleni pepo vijana wa Jakaya.

    ReplyDelete
  13. We Pius umeacha kazi Wizara ya mambo ya Nje-Diplomasia? Duh dogo tupe nasisi michongo basi, inakuwaje bwana mdogo ung'ang'anie Serikalini? kuna kitu si bure!!! Big up kaka nimefurahi kukuona.

    ReplyDelete
  14. Actually i know Pius through the Previous Discussion Board host by Business Times, He use to call him self Pope Pius, Jamaa alikuwa mchangiaji na muanzisha mada zenye changamoto sana nakumbuka Mada kama Pressure Group na akina Mkandara, Lapttp, Suzy, Mwanakijiji, Dume, Minja, Pope Pius na wengineo wengi, Mada yake ya Mwisho Pope Pius ambayo ilikuwa na changamoto na (nilisikia ilisababisha Board kufungiwa) ni Kwa nini Waislamu hupenda kuona wanaonewa na Suala zima la Imani katika dunia ya sasa" Men huwezi amini hii mada niliifanyia kazi na ilinisaidia katika Masters Research yangu kinoma, Mkubwa utafika mbali am proud of You!!!

    ReplyDelete
  15. Kaka Michuzi unatembea sana hadi huko? Duh thanx a lot kaka imebidi niingie http://www.tourism.gov.my/ kutafuta kuhusu Malaysia kabla sijaungana na huyo anayeuliza wanatafuta nini au kumkandya!! By suprissing jamaa wako mbali nchi imeendelea sana kupita hata baadhi ya nchi za huku Ulaya, sikujua kama kuna pepo huko namna hii oyaa angalia hiyo hapo juu ndo uulize swali lako Mchambisha Wazee wewe!! Wakubwa endeleeni infact nawatamani sana kinoma ila nishabugi kuingia kwa Bimkubwa si unajua tena!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...