muhtaji, binti ya hayati mbaraka mwinshehe mwaruka, angali akiendeleza libeneke la baba yake akiwa na bendi yake ya volcano stars. kulia ni mtoto wa shem karenga wa tabora jazz

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo dada amenifurahisha sana kwa uvaaji wake. ameonyesha kuwa ukiwa mwanamziki hasa wa kike si lazima uvae kwa kuacha baadhi ya viungo vyako nje kama wengi wanavyofanya sasa hivi. ameonyesha ukomavu wa hali ya juu. kitu cha muhimu ni burudani na ujumbe katika nyimbo zake zifike kwa watazamaji na wasikilizaji. Nampa bigup sana huyo dada.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...