Home
Unlabelled
mazrui
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mazruisms:
ReplyDelete1. Nyerere aliitambua Biafra kwa
sababu za kidini. Waibo
(Wakatoliki, kama Nyerere)
dhidi ya Waislamu wa kasikazini.
2. Nyerere alimtoa "nyoka pangoni
na kumponda kichwa" (Idi Amini)
kwa sababu hiyo hiyo ya kidini.
hii picha ulitumia mkangafu?
ReplyDeleteMichuzi hiyo sio 2005, Ben bado ana nywele kibao kichwani? au ulimaanisha 1995?
ReplyDeleteNadhani Africa Mashariki hatutaweza tena kupata Rais kama Ben. Wengi huwa hawaelewi, wanalialia tu bila ya sababu. Huyo ndo alikuwa Rais. Hakuna kuchekacheka hovyo hovyo, hakuna maigizo na waandishi wa habari. Yeye ni straight to the point. Watanzania wengi wamebadilika kwenye kipindi chake. Makosa huwa hayakosekani kwa binadamu, lakini mafaniko ya Mkapa kwa miaka kumi yake madarakani, tutaya-feel miaka mingi sana mbele ya safari. Ubarikiwe!
ReplyDelete