
ticha abou (shoto) anayebukua huo kikuu cha newala (nyu) na wanafunzi wengine toka kwa watani wetu wa jadi wakipozi na mke wa profesa ngugi hapo chuoni hivi karibuni. ticha abou pia ni mdau wa blogu. mtembelee hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi sasa inatosha bwana, adhaiwazi unatuchanganya sasa wasomaji na wapenzi wakubwa wa blogu yako! Maana New York ukipaita Bukoba, London ukpaita Ukerewe, sasa hapo Newala sijui ni mji gani maana sasa umeanza kutuchanganya!
ReplyDeleteRudi kwenye mstari tafadhali...Too much of anything is harmful!
Huyu mke wa Ngugi wa Thiong'o anaitwa Njeeri. Alibakwa alivyokuja Nairobi mwaka jana. Akalazwa hospitalini kwa siku kadhaa. Alipotoka akaitisha mkutano na waandishi wa habari akasimulia jinsi alivyobakwa. Halafu mumewe alilawitiwa.
ReplyDeleteHuyo mama naye ni jasiri kama Ngugi.
ReplyDeleteBukoba = Boston
ReplyDeleteDakawa = Dallas
Newala = New York
Ukerewe = UK