mnara wa kuongozea meli ulio karibu na soko la samaki feri ambao pia ni alama ya ramani za globo pozisheningi za kimataifa ambao umesimikwa na makandarasi wazalendo ikiwa ni pamoja na kampuni ya inter consult ambayo ni wabongo watupu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Natamani iwepo Minara kama hii mitatu minne hivi yaani ukipiga picha utadhani ni Malaysia au Shanghai

    Ha ha ha ha ha ha

    Unapendeza kwa kweli, michuzi nakushukuru sana kaka kwa mnara mzuri)+(picha)

    ReplyDelete
  2. Mnara ni mzuri na wahandisi wazalendo wanastahili sifa.

    Wasiwasi wangu ni kuhusu 'site selection', wahusika walitumia vigezo gani kuweka hapo mnara mrefu kama huo?

    Ikulu iko hapo jirani, je usalama wa nchi na wakuu wetu - Rais, Makamu wa Rais na W/Mkuu umezingatiwa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...