Home
Unlabelled
mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Braza Dito ni wa long ameshakuaga karibu mpaka hata na teacher J.Kambarage.Ila kajiingiza kwenye matatizo ile mbaya hata hii ngoma ikipigwa kushoto resume yake imeharibika ile mbaya.Mlioko bongo ngoma ya Dito inaendaje?
ReplyDeleteMICHUZI UMETUNKUMBUSHA MBALI, PICHA KAMA HIZI NDIO ZA MAANA KULETA HAPA, KWENYE BLOG YA KIMATAIFA.
ReplyDeleteMWALIMU NYERERE ANAHESHIMIKA ULIMWENGU MZIMA, HE NEVER STOLE FROM HIS COUNTRY AND HIS PEOPLE, VERY HUMBLE MAN. HATA KAMA FAMILIA YAKE SIO TAJIRI LAKINI, WANAHESHIMIKA POPOTE DUNIANI, WATOTO, WAJUKUU, WAKWE, UKITAJA JINA NYERERE TU, UNAHESHIMIKA NA KUANGALIWA KWA CHATI.
HATA HAPA AIRPORT KWETU, WAMEPEWA HADHI YA KUPITIA V.I.P LOUNGE.
MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI.
NA HUYU DITO TUNAMPA POLE SANA, KWA KUJIHARIBIA MAISHA HIVI HIVI, KWANINI LAKINI?
'WEWE DITO TANGULIA MBELE USIJE UKANIFYATULIA RISASI SUBIRI NIFE NDO UFANYE UNYAMA WAKO"(NAFIKIRI NDO MWALIMU ALIVYOKUWA AKIWAZA)
ReplyDeletehuyu dito mpuuzi tu, kwanza wote yeye na watoto wake washamba tuu, na mtoto wake Rama ana ngoma
ReplyDelete