dk cheni akiwa kama mwalimu katika filamu ya 'victim of love'

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Ebwana!!!
    Hii sehemu angefaa yule jamaa wa " akili ina-roll" na ile staili yake ya kubinua kiuno. Pia ana bonge la mawani!!!
    Wadau mnamkumbuka jamaa.

    ReplyDelete
  2. wa ughaibuni tuna taka contact zenu ili tu nunuwe movie zenu sasa contact za simu zipo wapi ile e- mail yenu michuzi aliyoweka mbona tunakuandikiyeni ili tupate kununu hizi movie mbona hatujibiwii jamani, mnaona kutoaa simu zenu ni big deal wakati mnataka kufanya biashara, kuweni serious kina nassir na mwanga

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...