profesa ngugi wa thiong'o alipokelewa kwa mikono miwili alipozuru bongo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Huyu Bibie wa Kizungu ni Prof. Majorie Mbilinyi kama sikosei!!

    ReplyDelete
  2. Huyu bibie wa kizungu ni Prof. Majorie Mbilinyi kama sikosei!!!

    ReplyDelete
  3. Huyo mzungu ni prof marjorie mbilinyi, nakumbuka alipokuwa akitufundisha ''Gender issues'' Development studies pale UDSM, alisema ''MAWIFI WANATABU SANA HATA UWAFANYIE NINI'', jamani mawifi hata wazungu tabuu...

    ReplyDelete
  4. NA KULIA NI MAMA NINAYEMHUSUDU SANA,PROFESA AMANDINA LIHAMBA ALIKUWA DEAN WANGU WA FASS UDSM,BEFORE HEAD WA DEPARTMENT FINE AND PERFORMING ARTS

    ReplyDelete
  5. ngugi i salute thee,,na soyinka pia..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...