kuna mdau huko ughaibuni, ambaye ni dokta, kanitumia hii na hakuniambia ni nini. naomba msaada wadau...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. ..HIV virus.

    ReplyDelete
  2. Yes. NI kirusi. Labda nacho

    ReplyDelete
  3. Yes. Hii kitu kitaalamu inaitwa CCHM, au kwa kirefu "Chozog Chaaoau Human mazaza". Check isikuvamie, waweza kuomba dunia ipasuke. Wengi wanaopata huwa wanaharisha mpaka mate

    ReplyDelete
  4. Friday, February 16, 2007 11:22:00 PM

    Jamaa yangu, hili jina lako ni kali kishenzi. aminiah

    ReplyDelete
  5. Watermelon-tikiti maji

    ReplyDelete
  6. Hiyo ni dalili ya saratani

    ReplyDelete
  7. Mnawafundisha watoto wenu?

    ReplyDelete
  8. Kaukwaa huyo. Icho ni kirisi babu.

    ReplyDelete
  9. hilo ni jini angalia lisikuvamiye ohoo huyo mdau aliyekutumia cheza naye mbali hakutaki mema ohoo shauri yako siyo kila picha unayotumiwa wewe unaibandika katika blog yako ohoo shauri yako hili jina linaitwa shujaa akra jini kama nyoka lipo kaburini lakin huwa linakuja duniani kuwatafuta watu wanao litafuta sahauri yako issa ohooo umebadika picha hii ohoo shaulilo

    ReplyDelete
  10. Hiyo ni Mulignant cancer,hapo inaonekana imetoka kwenye hatua ya tormur ambayo inakuwa kama kibonge na baadaye hushambulia kwenda pande zote kutoka kwenye sehemu ilipodevelop.

    ReplyDelete
  11. Ni popobawa huyo, 100% sure. Huyu mtu aliyemkamata photographically kwa mara ya kwanza lazma ashinde nobel prize

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...