Home
Unlabelled
bayi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Poli
ReplyDeleteMjomba michu nakuamini, hii ni mwaka gani, kumbe umeanzia mbali???
kazi nzuri
Michuzi,
ReplyDeleteKama mwandishi wa habari ningependa utueleze Bayi alikuwa bingwa wa dunia wa mita 1500 mwaka gani? Na mashindano yapi ya dunia alishinda?
Asante
Ulikuwa umepinda kipindi hicho michuzi...
ReplyDeleteWEWE ANONY HAPO JUU ACHA USHAMBA. MICHUZI KESHAKUWEKEA RANGI JUU JINA LA FILBERT BAYI ILI UBONYEZE UJUE. UNA KENGEZA NINI???
ReplyDeleteuh watu wanatoka mbali....hadi rahaaaa...keep it tight bro
ReplyDeleteMzee Michuzi umetokea mbali si mchezo
ReplyDeleteMjifunze kusoma na kuwa wadadisi, Filbert Bayi aliweka rekodi ya dunia kwenye mashindano ya Commonwealth.
ReplyDeleteHajawahi kuwa bingwa wa dunia kwani hakuwa kushiriki mashindano ya dunia. Nchi za Commonwealth ni sehemu ndogo tu ya washiriki wa mashindano ya riadha duniani.
Sasa kwa mwenye kupinga huo ukweli naomba anioneshe data za kuunga mkono "sloppy comments" za ubingwa wa dunia.
this is a respond to you.... on the comment you made regarding the world record holder Mr. Filbert Bayi, you should also check your resources to support your information...."Born in Arusha, Tanzania, his greatest moment was arguably the 1500 m final at the 1974 Commonwealth Games in Christchurch, New Zealand, when he won the gold medal ahead of New Zealand runner John Walker and Kenyan Ben Jipcho. Bayi set a new world record of 3 min 32.16 s, ratified by the IAAF as 3:32.2, and Walker went under the old world record set by Jim Ryun as well." from other sources
ReplyDelete