ah! bana eeee...kama noma na iwe noma. huyu ndo alikuwa mwenyeji wangu nilipotembelea sitokihomu, uswidi - hutaki?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. naona bwana michuzi ukienda hizo safari ziko huwa unapiga ndogondogo sijui hata maiwaifu wako huwa unamdanganya nini .Salute though u r the man !!!

    ReplyDelete
  2. Leo ukirudi utakuta my wife wako kashika copy ya hii picha, naiprint halafu naweka kwenye bahasha naituma home kwako kwa jina la Mrs Michuzi

    ReplyDelete
  3. Baba ake naona umevua bonge la koko,kama ni A.city hapo lazima ulokote bama(Landacruser ya safari)watoto wa kiarusha hawacheki kabisa na hivi vijibibi vya kizungu.A.City mademu wadogowadogo hakuna mtu mwenye time nao lakini we ngoja aonekane ni kikoko namna hii yaani atashangaa sana.Trip za bure Arusha park na lake manyara atazipata nyingi lakini wahuni wakishajua ana bei gani hapo ndo mwisho wake.

    ReplyDelete
  4. sasa kwanini ukaachia makaratasi hayo? wewe hujuhi wanawake hao ni big deal saana huko marekani, sijuhi kwa uswidi maana sijafika,hutaki uraia kaka Michu au? utajiju kwa hili hali ikienda kombo bongo tutakusikia minazi mirefu temeke, sasa sijuhi nani atatulekebishia blog yetu hii tamuuu ahaaaaa.... its a joke ma man

    ReplyDelete
  5. Michuzi ujanja wote huo umeishia kuchukua Bibi Kizee na mbaya kiasi hicho??? Najua wewe mtoto wa mjini kwa nini usingetafuta totoz bomba na inayovutia ili ikuonyeshe Stolkholm vizuri?? Najua huyo Kikongwe amekuonyesha vizuri sana mji wake wenye bustani mithili ya pori.

    ReplyDelete
  6. Ok ni mwenyeji wako ila ammbo ya kupiga picha na kukombatia kila mtu haipendezi be kimwanume jamani !!!

    ReplyDelete
  7. Watoto wa kibongo(dar es salam,Tanga) mnashangaa sana,achana na vya makaratasi mama kama huyo dili hapa hapa bongo.Ndo maana watoto wa kiarusha na moshi wataendelea kupiga mabao maana wao mabo hapa hapa ya nini ukasubiri greencard miaka?wakati miezi inakutosha kufanya mambo mengi tu?

    ReplyDelete
  8. dU DEMU BOMBA ILE MBAYA BADO MBICHI KABISA,WANAOMPAKA WOTE WANAMAKENGEZA.I LOVE HER IS SHE SINGLE?

    ReplyDelete
  9. michizu unaliachia karatasi hilo duu,yaani jamaa kwa hapa us wabongo watakushangaa sana kwa kuliacha karatasi likapeperuka si unajua us mambo ya kujilipua hamna basi mama ndio dili wengine tuna mamama makubwa kama friji huyo naona size yake poa,yote maisha ndungu yangu michuzi

    ReplyDelete
  10. Haya Hongera Mr. Mchuzi. Sipati pcha my wife wako atasemaje.

    ReplyDelete
  11. Mlalahoi hao sisi tunawechezea tu huku wakitupata wamewin kama lotto! Karatasi huku kama unalia tu. Huku marekani watu weusi all over na wenyewe kwanza wanao wao wa kwao. Ndio hamna market.

    ReplyDelete
  12. Michuzi siku moja weka picha ya mkeo wabongo watoe comments zao....

    ReplyDelete
  13. Huyo ni bibi kizee au babu? sielewi?

    ReplyDelete
  14. We michuzi sasa umezidi, umempata wapi huyo mama wa Kiswed?? Anaitwa Elizabeth! Namfahamu sana sana. Ana mafungu sana kwenye shirika la SIDA section wa utamaduni. Cheza naye, anaweza kukutoa zaidi. Ila mgumu kiaina! Inabidi ukomae sana kuweza kushika hata Kronor 20 tu zake!! Kazi kwako!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...