
bado nakumbuka ukarimu wa kaka ally noti wa 'madada saba' ukerewe na familia yake, na alinifurahisha kwa midundo toka www.mahusiano.com ambayo nilikuta anatwanga
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maradhi hayo..punguzeni huo unene. Mtapata ugonjwa wa moyo muda sio mrefu.
ReplyDeleteBwana Michuzi,nadhani kuna muungwana mmoja amekueleza hivi majuzi kuwa hayo majina yako ya "kiswahili" unayotumia ku-describe UK,New York na kwingineko hayatupendezi wengi.Hapa UK sio Ukerewe,na New York sio Newala.Pengine ni jitihada zako binafsi za kutaka majina hayo yakubalike lakini nasikitika kukwambia kwamba you're the only person insisting on using them,and they sound ridiculous.
ReplyDeleteNa nyie watu wa nje ya bongo kumbe kati yenu vipipa wapo pia!!!!...
ReplyDeleteManake akitokea ktk blog mtu aliyeoko huku home na mnene inakuwa kero kwenu!, sasa hao vipipa waliopo ktk picha hawajui GYM??? manake naona mnawafanya wabongo wa nyumbani vilaza kweli kweli..
Michuzi, Endelea na makamuzi ya lugha zako za ki-michuzi michuzi. mimi nayakubali hayo majina licha ya kwamba kuna mduanzi mmoja kanitangulia kutoa maoni kasema lugha yako 'ina-mboa'. nadhani aanzishe kijiwe chake akiendeshe kwa lugha anayotaka yeye. hiki kijiwe chetu, kamua baba...
kaka michuzi, Bukoba ndio wapi huko???, mpaka sasa sijapata jibu. japo napata hisia ni Marekani. itabidi siku uendesha shindano la haya majina ya miji unayoyatoa..
hakuna ubaya ku-dream Newala kuwa kama New York au Ukerewe kuwa kama UK.
Kamua misoup...
Majina haya mie nayafurahia sana:
ReplyDeleteNewala = New York
UK = Ukerewe
California = Kaliua
Tokyo = Tukuyu
michu dont stop using ur descriptions like ukerewe etc
ReplyDeletekwa kweli nyie msiopenda Michuzi kutumia neno UKEREWE au NEWALA achaneni na hii blog. Hii ni blog yake sisi tunaingia tu humu sababu mwenyewe anaturuhusu lakini hajalazimishwa mtu kuingia. Wewe kama unaona lugha yake au mambo yaliyomo humu hupendezwi nayo si uachane nayo tu kwani lazima uingie kwenye hii blog kila siku. Mnaipenda ndio maana hamkosi kuingia kila siku eenh! Maneno mangapi ya kihuni yanatumika siku hizi kwenye vyombo vya habari siku hizi ila Michuzi kutumia hiyo NEWALA na UKEREWE ndio iwe BIG DEAL! Au nyie mna yenu tu binafsi? Kama hampendi achaneni na hii blog he jamani mmezidi DE DE DE!
ReplyDeleteWatu hata hatulipii hii blog tunapata bure lakini bado tu maneno yasiyo na maana AMA KWELI BURE GHALI! Mwalongo mwe Kwiii!
Wewe anonymous wa pili hapo juu yaelekea huwa husomi comments za watu wengine kwenye blog hii.Sikiliza - majina ya Ukerewe,Newala na mengineyo kutumika humu siyo kosa na wala hakuna anayelazimishwa kuja kwenye blog hii.Wenzako kadhaa tumeshawakemea kwa unoko kama huohuo wako wa kulazimisha Kiswahili chenu sanifu kitumike pasipo na ulazima.Kama majina haya hayawapendezi wengi wewe shida yako nini? Kwa mfano ingekuwa wewe unaimiliki nchi ya Uingereza labda tungekusikiliza kwa kulalamika kwamba jina la UK linatumika visivyo lakini you do not own the UK hivyo madai yako hayana msingi.
ReplyDeletePili wengi tunaotumia blog hii tunayafurahia ile mbaya hivyo unakosea unapodai eti Michuzi ndiye mtu pekee anayesisitiza yatumike.
Kama hufurahii acha tu kutumia blog hii wala hakuna atakayekushangaa.
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteWengi tunayafurahia hayo majina ya Michuzi. Nyingine uliyoisahau ni kwamba Boston ni Bukoba! Kwi kwi kwi!
ReplyDeleteHayo majina Michuzi anatumia kwenye blogu yake tu, sio kwamba anataka yatumike kila sehemu, na kama ilivyokwisha jadiliwa kwenye topic nyingine wadau wengi tunayafurahia minjonjo ya namna hiyo.
wewe anony 05 2007 kama hutaki hayo majina ni wewe peke yako na majungu yako kaa kimya kama hutataki...sisi yakitajwa ndio starehe yetu..naona umekomaaa sana na hayo majina yanakuuma nini wewe kama sio wivu ama kweli wee mshamba
ReplyDeletena sitaki majibu yako kwani sio taarabu hii
michuzi endelea kutumia lugha uipendayo na ambayo inawafurahisha wengi na achana na hao vizabinabina wanaotaka kukuamulia nini cha kufanya ktk blogu yako mwenyewe ilhali hawakuchangii hata senti moja ila kazi yao kubwa ni kukosoa na kupinga tu;watanzania halisi.Kama kuna mtu anaona kuna lugha hapa inatumiwa na Michudhi yeye haipendi basi ahamie kwingine tu au aanzishe blogu yake na aweke lugha inayomvutia yeye.It is very easy and as simple as that.
ReplyDeleteIf u dont like 'em words just dont enter here,hii ni private blog,na mmiliki ana uwezo wa kuandika lugha yoyote anayotaka...In fact mimi maneno haya yananipendeza,tatizo la wabongo mkifika ulaya mnajifanya westernized saana kiasi cha kusahau kwamba kuna street language pia huko mtokako kama ilivyo huko mliko...
ReplyDeleteKama huoendi jinsi brother Michuzi anavyotumia haya majina ya kinyumbani kuelezea miji na nchi za ng'ambo, basi usiingie ndani ya blogu hii, kwani umelazimishwa. Michuzi endelea kufanya vitu vyako!
ReplyDeletewewe michuzi asikuambie mtu bwana, hi naguej unayoitumia sisi ndio inatuvutia kuingia humu ndani.
ReplyDeleteMIni nadhani huyo jamaa ni wivu unamsumbua sana hataki mendeleo yako.
yeye ndio yanamkera. Infakti tunaomba yeye kama hataki hii lugha, asitie timu humu ndani, aliyemwita nani kwanaza?? kaja kwa raha zake, usitu bughuzi watu kwenye starehe zetu.
Eti watu wakisema UK ni ukerewe, Newala ni New Yourk, eti hapendi? kwani kwenu huko wewe? watu wengine bwana, mtu badala uji fill praudi na hom kwenu, kwa taarifa watu wanayenda sana. Kama hutaki kivyako. Jamani NAW WI HAV TU YUZ DHIS LANGWEJ EFEKTIVLY, mICHUZI JAST GO ON WITH YU AR GUD WORK. WI RILI SAPOT YU, ENDI WI LAIK DHIS!
KIIP IT AP!! ENDI OL ZE BESTI.
ASIYETAKA HII LUGHA YA MICHUZI, JAMANI AKAJINYONGE
Bwana Michuzi huyu dada kafanana sana na Ms Asha Juma niliyesoma naye secondary?
ReplyDeleteMICHUZI HEBU TUAMBIE, HIVI KILA UKIENDA NCHI ZA WENYE NGOZI MBICHI LAZIMA UVAE SUTI TUU?
ReplyDelete