balozi wetu kongo kinshasa mh. maharage (shoto) akisalimiana na ndala kasheba wakati wa semina elekezi kwa mabalozi ngorongoro ambapo supreme alialikwa kutumbuiza

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Jamani sio dharau wala nini,kwanini bongo viongozi wengi ni wanene sana?Mfano huyu Maharage.

    ReplyDelete
  2. Mheshimiwa Maharage (Mr Beans) kahamishiwa UAE kwenye uteuzi wa juzi. Jamaa yuko alright sana! Kazi ya diplomasia inamfaa kupita kawaida!

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Michuzi bwana,unapoandika maelezo ya picha uwe makini tafadhali.Huyu Ndala Kasheba ameshafariki,ulitakiwa kuandika hayati Ndala Kasheba...sio unaassume kila mtu anajua hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...