kuna wakati wasanii wa bongo flava na wale wa muziki wa dansi wanapozindua albamu walikuwa wanafika sehemu ya tukio kwa mbwembwe tofauti. hapa ni profesa j alipoingia ukumbi wa dayamondi jubilei holi akiendesha mkokoteni. shoto ni prodyuza p funk majani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. big up to 'majani',he real make it 'rain'to bongo flava artists..good job bro..!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...