"....zis is pweza", mjaa nimemsikia akiwataarifu wateja wa kitasha leo pale forodhani ,zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Nazani hiyo pweza kwa kiileza cha kizungu inaitwa "kalamari"....kama sijakosea.

    ReplyDelete
  2. Pananikumbusha mbali sana hapo FORODHANI!. Natamani kurudi home. Kuna jamaa wako karibu na mlango wa The BLUES wanachoma ZANZIBAR PIZA, wanafurahisha sana sana ukifika hapo! Kila aina ya maneno wanaongea huku wakikupatia piza safi kabisa!

    ReplyDelete
  3. Michuzi umewahi kunywa supu ya pweza? wenyewe tunaita mwengo au hakuna kulala, kama hujawahi onja siku moja.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...