ray c akitumbuiza huko new jersey hivi karibuni. nasikia shoo ilikuwa bomba kichizi inagwa baadhi wanalalama ati ilidumu kwa dakika 40 tu. bila shaka ni kutokana na utamu kwani aghalabu kizuri hakidumu...

lala

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Hi,

    Naona umewachengua sana watu wa huko ughaibuni ndugu zetu ndio vitu tunaviona hivyo kila wakati naona vimewatoa kamasi. Wah wah RC wakamulie hadi wachanganyikiwe. Bongo kutamu bwana sio mchezo yote cheze huko lakini huku home mwanangu watu wako tight kinoma wanafight na maisha sana ili waweze kuishi. Ni hayo tu.

    ReplyDelete
  2. Tanzanian representative to Big Brother Africa,Mwisho Mwampamba tied the knot with rapper Rah P.The exclusive private wedding took place in Mwisho's home in Morogoro where the couple exchanged vows.It is Rah P that Mwisho was dating before he hooked up withbootylicious singer,Ray C.The break-up and hook-up caused uproar with Rah P and Ray C taking their war of words into music.Rah P's video clip,'Hayakuhusu',featured Mwisho on the set while Ray C also pulled a first one on her 'Umenikataa' video.It was in this same video clip that the couple had a wedding picture by the bedside that was presimed by many to be from their alleged wedding.Ray C however maintains that she was never married to Mwisho

    ReplyDelete
  3. hiyo ni chupi ama nini?

    ReplyDelete
  4. RayC naona umetoka ki-Boyance na ki-Shakira, maana mambo yote hadharani na unavutia kweli kweli. Nakushauri sasa uajiri ma-bodyguard kama kina BEYONCE ili usije bughudhiwa na mashabiki wa muziki wa kileo na ma-stalkers(wala-kozi kwa kiswahili cha Tanga) njiani ukienda kununua samaki Feri au nyanya Kariakoo.

    ReplyDelete
  5. huyu mtoto kadata saana maanake....mtu unaona hadi chupi yake..bangi na unga vimshamharibu bado kuwa teja tu...

    ReplyDelete
  6. hata mseme nini, nami mwenyewe si mshabiki mkubwa wa huyu dada, ila she is hoooooooooooooot

    ReplyDelete
  7. next time put on some cloth on yur ashe body

    ReplyDelete
  8. aaah, mtoto mashaallahu,...mnyonge mnyongeni lakini haki yake hebu mpeni! anaonekana ana ngozi mwororo, ana umbile zuri, ana kipaji cha uimbaji, sura yake inavutia, macho mazuri1 Kwa kifupi she's elegant, au kwa lugha ya mtaani kimobiteli, portable easy to carry!... Umejaaliwa Bibie, flaunt it if you have it!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. Kwa kweli dada umependeza na wavutia. Wanaosema na weseme lakini penye ukweli uongo utengwe. Nyie mnaomkandia acheni hizo, kwani wivu kidonda na waua. Mtoto analipa si mchezo, aaa mtoto wewe mashallaah! Kita ngoma dada wanaosema waache waseme tu, kwani hata ukiwa malaika watakutafutia dosari. Keep it up Lady! You are the best.

    ReplyDelete
  11. Walah nasema hivi acheni mchezo mtoto analipa huyu. Wanaosema na weseme ukweli uko pale pale, mtoto mzuri na Mwenyezi Mungu amemjalia. Acheni wivu binadamu, sifa zake mpeni. Dada unalipa, natamani ningekuona kwa karibu ningekupa sifa zako. Keep it up lady!! You are the best and nothing can change that, keep the ball rolling.

    ReplyDelete
  12. KUNA MSHAMBA HAPO KASEMA ETI BONGO KUTAMU KWA KUWA KONA CHUPI YA RAY C. HIYO NI DALILI YA TAMAA YA NGONO. ITAKUUA...BONGO KUNA MIZIGO MIKALI ZAIDI YA RAY C KAMA UTAENDEKEZ TAMAA KAMA HIZO UTAPIGWA 'SHORT'.

    ReplyDelete
  13. Well, i hear the girl can sing, ila she needs to prove that by being confident and stop lip sinkin and anaongea sana more than singin, pia inabidi aache kurudia nguo mno ni aibu. I LIKE HER THATS JUST CONSTRACTIVE CRITISISM

    ReplyDelete
  14. jamani wa Africa hamjaacha kuchongoa midomo yenu? sasa mnataka avae je? embu mpeni sifa zake huyu kimwana maana anastahili sifa hizo. Mtoto huyo kaumbika na hata wewe anakushinda uzuri ila mdomo unawaponnza nyie madada na makaka. Embu visheni chupi hiyo midomo yenu. Mnanitia hasiraaaaaa!!!hivi nyie mliishi wapi. Mimi sijui niaanzia wapi kuwaambia ukweli ulivyo lakini mtu inabidi umtape vile alivyo. kama mungu akukujalia kupata uzuri, ama macho ama umbile mshukuru kwa hivyo. Kwanza kama ningelimuona mungu ninge mwambia akufanye kipofu ili ukose lakusema. kwanini unamchafua sana hivo nikama vile unamshinda uzuri. For more info she hot, beautiful, attractive and she's even more beautiful than u bitch. Stop biching around u assholes. Next time keep ur holes chut cause u deserve to live in the village. I can even tell that u guys come from the village where u didn't even see someone wearing the skirt. inaonekana kama ninyi mlitokea kule vijijini ambapo mlikuwa hamuoni hata ngari la moshi, na mukiona ngari mnakimbia eti linakuja kuwauma. kwa machache nilitaka niwaambie ushamba muuache maana hii ni karne mpya. Asante sana kwakuwa nazani kwamba munaelewa nilivyo maanisha.
    Kwani beyonce ndo nini au rihana si demu tu kama yeye? give her what she deserve . Msimpake mavi nawakati hajanya. palipo na ukweli usemeni!!!wachenzi nyie. Ninge maopate mmoja wenu ninge mla meno ya shingoni. wa huniii nyie !!!!!!!! niwa sikie tena!!! Shenzi nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...