Home
Unlabelled
shalamar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
eh kweli mitindo ya zamani inarudi,unaona hiyo sketi sema tu hii fupi,ila ndio zilizoingia siku hizi.
ReplyDeleteeh kweli mitindo ya zamani inarudi,unaona hiyo sketi sema tu hii fupi,ila ndio zilizoingia siku hizi.
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteEnzi hizo noma..viatu vya hao mademu ukivichunguza sana utakuta vya plastic!!! watu wacheche walikuwa wanaweza kununua viatu ngozi katika duka moja tu la CHVDA pale samora avenue
ReplyDeletehe,michuzi hebu tukumbushe hii staili iliitwaje vile ,nsha sahau sijui ni bamping au nini vile!!! tumetoka mbali.
ReplyDeletemichuzi,umecheki huo mchanganyiko wa rangi za kupambia ukumbi!!! nyekundu ,nyeusi ,nyeupe ili mradi pambo liwekwe tu .Tumetoka mbali na hapa utakuta palisisiwa kweli kwa kupambwa vizuri siku hiyo.
ReplyDeletejamani hayo mapulizo kwenye huo ukumbi ni aje...??? yamepulizwa au?? mlepweto, watu hawana pumzii
ReplyDeleteHizi picha za "zilipendwa" zinanigusa sana. Pia zinatuonyesha historia ya uzoefu wako katika kazi hii.
ReplyDeletethose were the days bwana. siku hizi mambo kama haya hayatiliwi maanani..inasikitisha kwani vipaji nina hakika tunavyo.
ReplyDeleteYaani mi kwakweli hapo michuzi ukiwa unafanya mambo hayo ya old skul, na yasasa, yaani unachanganya ivi, roho yangu inakuwa kwaaaaaaaatuuuuuu!!!!!!!!!.
ReplyDeleteDa ebu endelea mku tupe hayo matukio ya kaka zetu na dada zetu tujue dunia imetokea wapi,ila kweli nimekubali upo kwenye fani hii siku nyingi aminiiiiiiaaaaaaa!
cha cha hilo mwanangu, au charanga!... Unazo za enzi za Salander Bridge Club enzi za Robot? maana namkumbukia Carlos enzi zake, siku hizi kawa Mhubiri London!
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletehivi huyu anayecheza sio Abby cury kit wa holiday?