abdul shalamar akishiriki na hatimaye kushinda shindano la kwanza la kucheza disko bongo katika hoteli ya silversands mwishoni mwa miaka ya 80...hii ni mojawapo ya picha zangu za mwanzoni mwa keria yangu ambazo nazienzi sana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. eh kweli mitindo ya zamani inarudi,unaona hiyo sketi sema tu hii fupi,ila ndio zilizoingia siku hizi.

    ReplyDelete
  2. eh kweli mitindo ya zamani inarudi,unaona hiyo sketi sema tu hii fupi,ila ndio zilizoingia siku hizi.

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Enzi hizo noma..viatu vya hao mademu ukivichunguza sana utakuta vya plastic!!! watu wacheche walikuwa wanaweza kununua viatu ngozi katika duka moja tu la CHVDA pale samora avenue

    ReplyDelete
  5. he,michuzi hebu tukumbushe hii staili iliitwaje vile ,nsha sahau sijui ni bamping au nini vile!!! tumetoka mbali.

    ReplyDelete
  6. michuzi,umecheki huo mchanganyiko wa rangi za kupambia ukumbi!!! nyekundu ,nyeusi ,nyeupe ili mradi pambo liwekwe tu .Tumetoka mbali na hapa utakuta palisisiwa kweli kwa kupambwa vizuri siku hiyo.

    ReplyDelete
  7. jamani hayo mapulizo kwenye huo ukumbi ni aje...??? yamepulizwa au?? mlepweto, watu hawana pumzii

    ReplyDelete
  8. Hizi picha za "zilipendwa" zinanigusa sana. Pia zinatuonyesha historia ya uzoefu wako katika kazi hii.

    ReplyDelete
  9. those were the days bwana. siku hizi mambo kama haya hayatiliwi maanani..inasikitisha kwani vipaji nina hakika tunavyo.

    ReplyDelete
  10. Yaani mi kwakweli hapo michuzi ukiwa unafanya mambo hayo ya old skul, na yasasa, yaani unachanganya ivi, roho yangu inakuwa kwaaaaaaaatuuuuuu!!!!!!!!!.
    Da ebu endelea mku tupe hayo matukio ya kaka zetu na dada zetu tujue dunia imetokea wapi,ila kweli nimekubali upo kwenye fani hii siku nyingi aminiiiiiiaaaaaaa!

    ReplyDelete
  11. cha cha hilo mwanangu, au charanga!... Unazo za enzi za Salander Bridge Club enzi za Robot? maana namkumbukia Carlos enzi zake, siku hizi kawa Mhubiri London!

    ReplyDelete
  12. Michuzi,
    hivi huyu anayecheza sio Abby cury kit wa holiday?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...