Ndugu zangu wapenzi!
Kwa niaba ya wafiwa, ndugu, jamaa na marafiki, nimetumwa kutoa shukurani za dhati kwa upendo, ushirikiano mliouonyesha katika mazishi ya mtoto wetu Tatum Rehema Hiza tuliemzika jana Februari 15, 2007 hapa Amherst, Massachusetts.
Ni vigumu kumshukuru mtu mmoja mmoja, hivyo twawatafadhalisha mpokee shukran hizi kupitia pepe hii. Mungu atawalipa yote yalio mema Asante!
Isaac A. Kibodya


This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete