Home
Unlabelled
sheraton
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Bongo yote ingekuwa green hivi, aaaaaaagh alhamdulliallah. Lakini nenda Ukonga, mazizi, hakuna hata mtaa, manzese, Mburahati,Kigogo, Mtoni kwa Aziz Ali, Mivinjeni, Ubungo kibangu. la la la la la la la , we acha tu
ReplyDeleteHaya asante Michuzi kwa kutuletea Sheraton ya zamani then Royal Palm na sasa ni Moving PINK
Wawekezaji wanajua kweli kucheza na akili zetu kwa visingizio vya uwekezaji
Naomba kutoa hoja
Hivi hii hotel itabadirshwa majina hadi lini? Ukibahatika ukapata michuzi ndugu Michuzi basi wekeza hapo na itaitwa MICHUZI Hotel. tehe tehe tehe. Tanzania inaliwa na wajanja na wana meno makali kweli eh! Yesu na Maria
ReplyDeleteSi ninyi Batanzania iko ku fasi ya kuwapa hao miaka tatu bila bushuru. Mbali kufika mika tatu, mtu nabadili. Mwingine anayingia. Mbali kufika karibu ku miaka tatu, anamnunulia mwingine.
ReplyDeleteMtayendeleya na kufasi hiki kukaribia hata kuja kwa Yesu!
Bujanja hamuna kabisa, bandeko ba bolingo! Amuka pana kutolewa maziwa sawa!
Hiyo itabadilishwa majina kwa lengo la kukwepa kodi mpaka basi!
ReplyDeletewe hapo juu mzaire feki,mzaire wa kigoma hujui hata ulichoandika; kitoko ya moto.
ReplyDeletekazi kwelikweli!
ReplyDelete