sauti za busara imekutanisha watu wengi. mdau wa mbele ni mtaalamu wa mtandao na ameanzisha www.smstz.com kuwawezesha watu duniani kote kuwasiliana kwa ujumbe mfupi kirahisi. mtemebleeni muone bongo inavyokata mbuga taratiiiibu kwenye mawassiliano...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mh, kweli hii blog ina mambo. Aisee nimejiunga chap chap nikiwa huku ughaibuni kwa kutumia namba ya jamaa TZ, si nimeshampelekea msg 10 za bureeeeeeee. Sikuweza siku ya valentine maana hakukuwa na maboxi ya kubeba.

    ReplyDelete
  2. Jonas MaComputer, Mzee wa Artificial intelligence! Umekuwa Gay kushika ma mikono na Wazungu... LOL! Just kidding SON, happy to see ur pic here. George Mwakatuma (Amphebia!) Niko Mountain View (what happened to your Sillicon Valley dream?) Please log into College Alumni site and email ma guy... i cant find u there! 1 LUV.

    ReplyDelete
  3. Mi-supu aksante kwa hii picha, Jones MacCoe? we miss you big time KissFM top 9@9 streaming. What happened? Hata uhagi bwana? Najua utasoma hii, Nasikia house met, Steve Kabuye kaenda East Africa FM? Je, nikisema it "Dont get no Better" Ushanifamu?

    ReplyDelete
  4. hehehhe jonas macCoe huyoooooooo

    ReplyDelete
  5. Good work with SMSTZ.COM website nzuri, inasaidia sana kwa sababu muda wa kuchukua simu na kuandika sms wengi hatuna. Tuna weza nunua credit kawa kutuma sms zaidi ya kumi? Mnaae mjua huyo Jones Maccoe, tunaweza wasiliana nae vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...