Home
Unlabelled
tamarind
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Dada hiyo mipaaajaaaaaa!!!
ReplyDeleteMbona Ray C na K-Lynn wakivaa vimini jukwaani ni wanasemwa sana wanaaibisha ,je huyu ana fanya nini hapo na nina uhakika hakuna atakaye sema kitu kuhusu uvaaji huo.
ReplyDeleteHili ndilo umbile 'original' la mwanamke mbantu!!!!!! Anapendeza!
ReplyDeleteHamida, mashaallahu,... namkumbukia huyu mwanadada na bendi ya Tamarind, yeye na Mumewe (Kiongozi wa Bendi). Ilhali Mumewe karidhia poa tu!
ReplyDeleteHamida umenenpa ulikuwa kipotabo!mambo ya nini hayo?anapendeza lakini.huyo dada mzuri jamani..
ReplyDeleteUmeiona hii michuzi?
ReplyDeletehttp://bp1.blogger.com/_stxylFr6jLM/RaUGAGL2BsI/AAAAAAAAAl4/ik6M6Ns8rO8/s1600-h/in5.jpg
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDelete