mnenguaji wa bendi ya tamarind ya zenj akivinyonga jukwaani kwenye sauti za busara usiku wa leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Dada hiyo mipaaajaaaaaa!!!

    ReplyDelete
  2. Mbona Ray C na K-Lynn wakivaa vimini jukwaani ni wanasemwa sana wanaaibisha ,je huyu ana fanya nini hapo na nina uhakika hakuna atakaye sema kitu kuhusu uvaaji huo.

    ReplyDelete
  3. Hili ndilo umbile 'original' la mwanamke mbantu!!!!!! Anapendeza!

    ReplyDelete
  4. Hamida, mashaallahu,... namkumbukia huyu mwanadada na bendi ya Tamarind, yeye na Mumewe (Kiongozi wa Bendi). Ilhali Mumewe karidhia poa tu!

    ReplyDelete
  5. Hamida umenenpa ulikuwa kipotabo!mambo ya nini hayo?anapendeza lakini.huyo dada mzuri jamani..

    ReplyDelete
  6. Umeiona hii michuzi?
    http://bp1.blogger.com/_stxylFr6jLM/RaUGAGL2BsI/AAAAAAAAAl4/ik6M6Ns8rO8/s1600-h/in5.jpg

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...