basi, basi, basi toto juri eeeee...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Duh! Huyu bibi anatisha sio mchezo. Hizo Chale usoni kwanini mtoto wa Kitasha asilie? :)

    ReplyDelete
  2. mtoto lazima alie huyo bi kidude sura ka ametapikwa,kah!

    ReplyDelete
  3. Kwa umri wake (miaka 88) wacha atishe - nami sistaajabu kabinti kuangua kilio. Hivi Bi Kidude ameacha kunywa makali? Kuvuta tumeona picha (hio naona hajaacha). Huyu bibi akishika konyagi ainywa kama maji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...