Home
Unlabelled
ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naona safari hii wamekuacha huko minazi mirefu
ReplyDeleteanyway jana ukumbi ulikuwa mkubwa na paka chakula kilikwepo lakini si unajua sie watu wa London chakula sio saaanna...
Pili wale vinara unaowasoma kule jamboforums.com wote walikuwa kimyaaa matokeo yake JK kawapiga mabao ovyo ovyo
hakuna kitu mjomba labda kama akienda huko YUESI EI kwa akina mwana kijiji
je waziri ally na majuto ni ndugu kama sio watafute ukweli..
ReplyDeleteMmh yaani nyie mko wengi! Mna nyimbo kweli huko? Duh poleni.
ReplyDeleteUsidhani wote hao wana makazi ya kudumu ukerewe, wengine wamekuja kuosha macho kwa wiki mbili, kwa kuwa nafasi kama hii ya kuongea na rais kule bongo huwa haipo basi angalau nao waonekane kwenye picha na rais. Wakazi wa kudumu wa ukerewe hawapo hapo. Hao ni Mabishoo tu
ReplyDeleteWewe apo juu(6:15:00) acha ulimbwende. Mtu afunge safari toka bongo kuja huko kwa ajili aonekane kwenye picha na rais? Come on! Get real. Sizani kama kunamtu yeyote anayeweza kufanya huo upumbavu.
ReplyDeleteSasa wewe anon wa 2:06:00am unabisha nini wakati mimi mwenyewe ni mmoja wapo wa aliofunga safari kwa ajili hiyo, yaani wote unaotuona hapo sio wakazi wa ukerewe tumekuja osha macho.
ReplyDelete