wabongo wakimsikiliza jk jana ukerewe. waziri ally wa njenje nakuona hapo kushoto. vipi tenda huko? haya bwana, naona umeshakwiva. basi hebu wewe na wadau msikilizeni mzee mzima hapo chini basi ili msisahau bolingo nangai kama alivyotutumia mdau mmoja sasa hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Naona safari hii wamekuacha huko minazi mirefu

    anyway jana ukumbi ulikuwa mkubwa na paka chakula kilikwepo lakini si unajua sie watu wa London chakula sio saaanna...

    Pili wale vinara unaowasoma kule jamboforums.com wote walikuwa kimyaaa matokeo yake JK kawapiga mabao ovyo ovyo

    hakuna kitu mjomba labda kama akienda huko YUESI EI kwa akina mwana kijiji

    ReplyDelete
  2. je waziri ally na majuto ni ndugu kama sio watafute ukweli..

    ReplyDelete
  3. Mmh yaani nyie mko wengi! Mna nyimbo kweli huko? Duh poleni.

    ReplyDelete
  4. Usidhani wote hao wana makazi ya kudumu ukerewe, wengine wamekuja kuosha macho kwa wiki mbili, kwa kuwa nafasi kama hii ya kuongea na rais kule bongo huwa haipo basi angalau nao waonekane kwenye picha na rais. Wakazi wa kudumu wa ukerewe hawapo hapo. Hao ni Mabishoo tu

    ReplyDelete
  5. Wewe apo juu(6:15:00) acha ulimbwende. Mtu afunge safari toka bongo kuja huko kwa ajili aonekane kwenye picha na rais? Come on! Get real. Sizani kama kunamtu yeyote anayeweza kufanya huo upumbavu.

    ReplyDelete
  6. Sasa wewe anon wa 2:06:00am unabisha nini wakati mimi mwenyewe ni mmoja wapo wa aliofunga safari kwa ajili hiyo, yaani wote unaotuona hapo sio wakazi wa ukerewe tumekuja osha macho.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...