kp akisimamia uteuzi wa baraza la mawaziri zama za bwm...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Wadau nisameheni kwa maoni tofauti na picha. Ndg. Michuzi unatukumbusha mambo ya kale kidogo na inapendeza. Nina mambo mawili. Mosi naomba utuwekee picha ya hayati Adam Mwaibabile "mwana". Alikuwa mtangazaji mahiri wa redio moja. Pili, Kuna mwaka nikiwa sec. skuli, golikipa wa A.F.C ya Arusha alifia uwanjani katika mechi ya ligi kuu. Uchunguzi ulionyesha kuwa alichomwa na kitu chenye ncha kali. Je hilo suala liliishia wapi. Nawasilisha Michu.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Naikumbuka hii ya KP, kali sana!

    ReplyDelete
  3. Naungana na Roadmasta kwa asilimia nyingi tu (kama zilizompeleka JK ikulu). Na juu ya hapo natoa masikitiko yangu kwa kitendo hiki nitakachokielezea sasa.

    Hivi Karibuni sekta ya habari imempoteza Mwanahabari na mtetezi wa haki mahiri, huyu si mwingine bali na Adma Mwaibabile "Mwana". huyu yeye alikuwa akilifanyia kazi shirika la PST kule Singea mkoani Ruvuma. nikiwa kama mwanablog (japo ni Anonymous), nasikitishwa sana na kitendo cha michuzi kutosema lolote kuhusu kifo cha Mwaibabile.

    hii inadhirisha ni jinsi gani wanahabari wa kitanzania walikuvyo kuwa na fikra za kuwasikiliza na kuwapa nafasi wanasiasa na viongozi na kushindwa kuwajali wanamapambano wenzao.

    Mimi niliposoma taarifa za kifo cha Mwaibabile kwenye tovuti nyingine, nilijua haipiti muda Michuzi atatuwekea Breking nyuuzii.. kama ilivyokuwa kwa hayato Akukweti. la hasha!, hii haikuwa ktk list ya Breking nyuuzi..

    Michuzi, japo hii blog ni yako lakini pia na wewe usiwasahau na kuwatupa wanahabari wenzako.
    Naomba utuwekee picha ya Mwaibabile, tupate kuiona sura yake japo kishatangulia mbele ya haki.

    ReplyDelete
  4. Michuzi hata kama wewe utatutoka sasa hivi hatuwezi katu kukusahau hivyo acha mambo hayo andaa account namba ya pole ili sisi tuweze kuweza kutoa pole zetu.Leo wewe kesho mwingine.

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...