Home
Unlabelled
chaku
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Una maana Meya Nyupi?:-) Duh, enzi hizo tunajifunza kusoma, gazeti unakimbilia nyuma usome Chupaki na Pole na Bushiri wanasema nini! Hivi sasa ndio natambua kuwa hata msanii wake simjui jina!!!
ReplyDeleteKaka michuzi umenikumbusha mbali sana nakumbuka nilikuwa primary school enzi hizo katuni hii ilikuwa inatesa magazetini.
ReplyDeletehaya nadhani ni mambo ya Chakubanga na Bushiri au? Hii kitu inanikumbusha hata kabla ya kuanza darasa la kwanza miaka ya 80 mwanzoni.
ReplyDeleteMichuzi huyu C GREGORY mchoraji wa hizo katuni yupo wapi? tunaomba picha yake, na gazeti la Uhuru ambalo ndilo lilikuwa linachapisha vikatuni hivyo vya Chakubanga na Polo na Mama Chupaki bado linachapisha?
ReplyDeleteChakubanga?
ReplyDeleteMICHUZI HIZI PICHA UNATUKUMBUSHA MABALI SANA NDUGU YANGU NAOMBA TUWEKEE NYINGINE NA MAMA CHUPAKI
ReplyDeleteMichuzi umenikumbusha mbali sana na najiona mzee sana nilijifunzia kusoma kwenya hii chakubanga, polo na mama ......na gazeti la Sani
ReplyDeleteumenikumbusha my late mom,mtu yoyote mjinga alikuwa anamwita polo, and it was so funny.
ReplyDeleteKuna msomaji mmoja ameulizia mchoraji wa katuni za Polo yuko wapi.
ReplyDeleteHuyu msanii (Gregory) alishaaga dunia muda mrefu uliopita!!!!