ma dj wa space 1900 discotheque toka shot joe johnson holela, chris phabby the lover na super deo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. kama kuna mdau anakumbuka jina la songi moja la enzi hizo watu tulikuwa tunaimba ...Michael Jackson njoo, sitaki, kama hutaki nenda... Tafadhali naomba jina halisi la songi hilo.

    ReplyDelete
  2. Michuzi,
    Picha hii ni baada ya kuvnjika kwa Space 1900 kwani Super Deo hakuwahi kuwa Dj wa spoace wakati wa space alikuwa Bouncer.

    ReplyDelete
  3. This is for you CM.....The name of the song was "There's No Stoppin' Us"and you can find the lyrics of this song on this website. Oldielyrics.com

    ReplyDelete
  4. http://www.youtube.com/watch?v=qxc5sHDbUZ4

    Na nyimbo yenyewe inaitwa "There Ain't no Stopping us" By Ollie E Brown sio Michael Jackson.

    Michuzi lete zingine.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...