Home
Unlabelled
vision
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kama weee michuzi ni wa enzi hizo mbona picha za BEACH PARTIES za msasani beach hujaziposti?
ReplyDeleteau hukuwepo mjini enzi hizo mazungu na ma baharia kama akina MARVIN walikuwa wakitua basi dar nzima kila star alikuwa anapata raba ULAYA na GURUWE
michuzi wakumbushe hawa watoto waliojazana kwenye hii blog yako
Michuzi sasa huyu ndiye Abdoul Shalamar Original wa Bongo!enzi hizoooo 1980's
ReplyDeleteMr A alikuwa Ahmed na sio Shalamar(Michuzi nisahihishe kama nimekosea)....Huyu for a long time alikuwa aki-Dj na Tito.
ReplyDeleteMichuzi Paul yupo wapi sasa hivi?
Hapana kaka, huyu sio Shalamar. huyu ni Ahmed Travolta. Enzi hizo za kale ni miongoni mwa vijana ambao wameweka standard hapo Bongo.
ReplyDeleteLeo tunakata viuno na Melody Wachaaaaa weeeee.
Michuzi lete zingine za hao vijana tafadhali