mzee david wakati akiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wake hayati hilda maruma wakati kwenye mazishi jioni hii kwenye makaburi ya kinondoni. shoto ni mtangazaji mkongwe mzee godfrey mngodo akiwa na mzee hamza kasongo na mandela kenneth wakati, mtoto mkubwa wa marehemu. Mungu ailaze pema roho ya marehemu - AMIN

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Mungu ampumzishe mama yetu Hilda M. Wakati mahali pema peponi. Daima utakukumbukwa katika sala zetu. Mungu awape wafiwa moyo wa subira na uvumilivu. Amen

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Mungu ailaza mhali pema peponi Roho ya marehemu mama Hilda.
    Mungu awatie Nguvu wafiwa na Mungu alimpenda zaidi yetu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe!

    ReplyDelete
  4. Jamani hayo majina yananikumbusha utoto wangu tulivyokuwa tunasikiliza radio Tanzania, habari, etc

    Poleni wafiwa wote na Mungu awatie nguvu, it's not easy but may He make your coming days brighter..Amen

    ReplyDelete
  5. mungu aamlaze mahali pema peponi.POLENI WAFIWA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...