
mzee david wakati akiweka shada la maua kwenye kaburi la mke wake hayati hilda maruma wakati kwenye mazishi jioni hii kwenye makaburi ya kinondoni. shoto ni mtangazaji mkongwe mzee godfrey mngodo akiwa na mzee hamza kasongo na mandela kenneth wakati, mtoto mkubwa wa marehemu. Mungu ailaze pema roho ya marehemu - AMIN
Mungu ampumzishe mama yetu Hilda M. Wakati mahali pema peponi. Daima utakukumbukwa katika sala zetu. Mungu awape wafiwa moyo wa subira na uvumilivu. Amen
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteMungu ailaza mhali pema peponi Roho ya marehemu mama Hilda.
ReplyDeleteMungu awatie Nguvu wafiwa na Mungu alimpenda zaidi yetu. Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina la Bwana libarikiwe!
Jamani hayo majina yananikumbusha utoto wangu tulivyokuwa tunasikiliza radio Tanzania, habari, etc
ReplyDeletePoleni wafiwa wote na Mungu awatie nguvu, it's not easy but may He make your coming days brighter..Amen
mungu aamlaze mahali pema peponi.POLENI WAFIWA.
ReplyDelete