picha za mawaziri wetu wakuu waliopita zikioneshwa makumbusho ya taifa, dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Sitasahau kauli ya mheshimiwa mmoja kati ya hao kuwa "Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!" Kauli hiyo aliitoa akiwa waziri wa Fedha, hapo katangaza budget very tight halafu ndio anasema maneno hayo. Tumetoka mbali

    ReplyDelete
  2. Huo ni upendeleo mbona Sumaye hawajamuweka?

    ReplyDelete
  3. Mwalimu Julius Nyerere na Sumaye wamekosekana kwenye hizi picha pamoja na waziri mkuu wa sasa Edward Lowassa

    ReplyDelete
  4. Arusha ndio inaongoza kwa kutoa mawaziri wakuu nchi hii.

    SOKOINE,SUMAYE,LOWASA wote toka Arusha.Hivi mkoa huo tu ndio wenye uwezo katika mikoa yote ya Tanzania? Ni bahati mbaya makusudi au ni nini?

    ReplyDelete
  5. Watz kweli hatuko precise, jamani hata zile picha kuzitundika katika mpangilio fulani au mstari ulionyooka kuonyesha tu kwamba kuna mtu anatake care pale makumbusho hamna! picha zimetundikwatundikwa tu kama vile nyanya

    ReplyDelete
  6. Viongozi wetu wamedanganyika na uchapaji kazi wa Hayati Sokoine,wakadhania na watu wengine kutoka Arusha watakuwa wachapa kazi,kumbe ni wachumia tumbo tuu!!!

    ReplyDelete
  7. Ni kweli aliwahi kusema "kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe" wakati yeye akituongezea mzigo kwa kuanzisha wilaya ya kwake!!!

    ReplyDelete
  8. Ya nyerere ipo kwenye kona, pamoja na ya lowassa na sumaye zilizoegemeshwa chini. Zote zilikosa nafasi!!

    Hii inanikumbusha ile poster ya mkapa na kikwete iliyobandikwa kwenye ukumbi mpya wa bunge kwa 'solotepu'.

    ReplyDelete
  9. mh!jamani mbona picha ya upande wa kulia ni kubwa sana?halafu imejitenga,kulikoni?

    ReplyDelete
  10. Hapo handsome ni Kawawa tu, wengine sura kama MASUDI SURA MBAYA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...