Home
Unlabelled
wakuu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sitasahau kauli ya mheshimiwa mmoja kati ya hao kuwa "Kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe!" Kauli hiyo aliitoa akiwa waziri wa Fedha, hapo katangaza budget very tight halafu ndio anasema maneno hayo. Tumetoka mbali
ReplyDeleteHuo ni upendeleo mbona Sumaye hawajamuweka?
ReplyDeleteMwalimu Julius Nyerere na Sumaye wamekosekana kwenye hizi picha pamoja na waziri mkuu wa sasa Edward Lowassa
ReplyDeleteArusha ndio inaongoza kwa kutoa mawaziri wakuu nchi hii.
ReplyDeleteSOKOINE,SUMAYE,LOWASA wote toka Arusha.Hivi mkoa huo tu ndio wenye uwezo katika mikoa yote ya Tanzania? Ni bahati mbaya makusudi au ni nini?
Watz kweli hatuko precise, jamani hata zile picha kuzitundika katika mpangilio fulani au mstari ulionyooka kuonyesha tu kwamba kuna mtu anatake care pale makumbusho hamna! picha zimetundikwatundikwa tu kama vile nyanya
ReplyDeleteViongozi wetu wamedanganyika na uchapaji kazi wa Hayati Sokoine,wakadhania na watu wengine kutoka Arusha watakuwa wachapa kazi,kumbe ni wachumia tumbo tuu!!!
ReplyDeleteNi kweli aliwahi kusema "kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe" wakati yeye akituongezea mzigo kwa kuanzisha wilaya ya kwake!!!
ReplyDeleteYa nyerere ipo kwenye kona, pamoja na ya lowassa na sumaye zilizoegemeshwa chini. Zote zilikosa nafasi!!
ReplyDeleteHii inanikumbusha ile poster ya mkapa na kikwete iliyobandikwa kwenye ukumbi mpya wa bunge kwa 'solotepu'.
mh!jamani mbona picha ya upande wa kulia ni kubwa sana?halafu imejitenga,kulikoni?
ReplyDeleteHapo handsome ni Kawawa tu, wengine sura kama MASUDI SURA MBAYA
ReplyDelete