hili si shindano ila ningependa kuchokoza mjadala hapa ni wapi katika

bandari ya salama?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Kama sio Movenpick basi ni nyumbani kwa waziri mkuu...

    ReplyDelete
  2. Sea Cliff Hotel, barabara ya Toure Drive, Oysterbay, Masaki, Dar-es-salaam.

    ReplyDelete
  3. Hoteli ya Sea Cliff, barabara ya Toure Drive, Oysterbay, Masaki, DSM.

    ReplyDelete
  4. hapo ni karimjee hall bwana michuzi .Hatujasahau kwatu bado.Ingawa ni miaka hatujarudi.

    ReplyDelete
  5. Hapa ni Coral Beach Hotel au zamani Coral Beach Club hatua chache tuu baada ya SlipWay.Lazima nimepatia!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  6. HAPO NI HOLIDAY INN! JAMANI, WOTE MMEKOSEA.

    ReplyDelete
  7. Hivi huko Bongo hakuna wapamba harusi ambao ni ma profeshno?
    Harusi imepambwa utafikiri FETE


    nadhani hiii industry bado ina hitaji wataalam zaidi na siyo eti kwa sababu fulani ni waziri au jaji basi mkewe anajua kupamba harusi

    Wakija London wakikaa siku 7 wakirudi bongo wajidai wajua pamba haya mambo...jamani haya mambo yanahitaji wenyewe jama

    mambo ya kuingia fani za watu tuuu

    ReplyDelete
  8. coral beach was there three weeks ago masaki just after sea cliff

    ReplyDelete
  9. hapo ni Golden Tulip

    ReplyDelete
  10. hapo ni CORAL BEACH!

    ReplyDelete
  11. we fala hapo juu inaonekana wala haupo nje ya Bongo, ukiona pamepambwa basi unajua ni harusi tu?? we kweli ni ziro.London kumbi au sehemu pakipambwa basi ni harusi? Jione ulivyo zuzu

    ReplyDelete
  12. nyinyi bongo new york hapo ni mnazi mmoja siku ya miaka 45 ya uhuru

    ReplyDelete
  13. Hapo ni coral beach

    ReplyDelete
  14. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  15. hapa ni pale nnapotaka kupewa my marriage proparsal: Golden Tulip.

    ReplyDelete
  16. hahaaaaaaaa.......tehe tehe tehe.....tih tih tih....uwiiiiiiiiiiiii wacheni nicheke tu nijipe raha,maana kuna mabolibo hapa paka basi.
    Sasa kama mtu hujui sehemu si bora unyamaze tu kama mimi....ila kumbukumbu yangu ni coral beach. Michuzi kama tumekosea tuambie basi.

    ReplyDelete
  17. Anony wa 8:48 nakusupport kabisa hizi shuhuli tuwe tunawaachia wenyewe kama kina mario wa vayle springs hivi na wengine wenye uzoefu. Haya mambo ya kufata majina ooohhh mke wa flani ooohhh mmewe waziri hayana mpango. Watanzania tubadilike,tumezidi kudanganywa unajua mme wnagu alipokua kikazi Ufaransa nilifanya course ya designing...designing my ass....

    ReplyDelete
  18. well for sure hapo ni coral beach yaani no kupinga.

    ReplyDelete
  19. wadau wapendwa. kwa idhini yenu naomba kuufunga rasmi huu mjadala

    HAPO NI HOTELI YA CORAL BEACH, MASAKI, DAR...

    ReplyDelete
  20. hapo ni nyakiteri bar and guest MUSOMA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...