Home
Unlabelled
wapi?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kama sio Movenpick basi ni nyumbani kwa waziri mkuu...
ReplyDeleteSea Cliff Hotel, barabara ya Toure Drive, Oysterbay, Masaki, Dar-es-salaam.
ReplyDeleteHoteli ya Sea Cliff, barabara ya Toure Drive, Oysterbay, Masaki, DSM.
ReplyDeletehapo ni karimjee hall bwana michuzi .Hatujasahau kwatu bado.Ingawa ni miaka hatujarudi.
ReplyDeleteHapa ni Coral Beach Hotel au zamani Coral Beach Club hatua chache tuu baada ya SlipWay.Lazima nimepatia!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteHAPO NI HOLIDAY INN! JAMANI, WOTE MMEKOSEA.
ReplyDeleteHivi huko Bongo hakuna wapamba harusi ambao ni ma profeshno?
ReplyDeleteHarusi imepambwa utafikiri FETE
nadhani hiii industry bado ina hitaji wataalam zaidi na siyo eti kwa sababu fulani ni waziri au jaji basi mkewe anajua kupamba harusi
Wakija London wakikaa siku 7 wakirudi bongo wajidai wajua pamba haya mambo...jamani haya mambo yanahitaji wenyewe jama
mambo ya kuingia fani za watu tuuu
coral beach was there three weeks ago masaki just after sea cliff
ReplyDeletehapo ni Golden Tulip
ReplyDeletehapo ni CORAL BEACH!
ReplyDeletewe fala hapo juu inaonekana wala haupo nje ya Bongo, ukiona pamepambwa basi unajua ni harusi tu?? we kweli ni ziro.London kumbi au sehemu pakipambwa basi ni harusi? Jione ulivyo zuzu
ReplyDeletenyinyi bongo new york hapo ni mnazi mmoja siku ya miaka 45 ya uhuru
ReplyDeleteHapo ni coral beach
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletehapa ni pale nnapotaka kupewa my marriage proparsal: Golden Tulip.
ReplyDeletehahaaaaaaaa.......tehe tehe tehe.....tih tih tih....uwiiiiiiiiiiiii wacheni nicheke tu nijipe raha,maana kuna mabolibo hapa paka basi.
ReplyDeleteSasa kama mtu hujui sehemu si bora unyamaze tu kama mimi....ila kumbukumbu yangu ni coral beach. Michuzi kama tumekosea tuambie basi.
Anony wa 8:48 nakusupport kabisa hizi shuhuli tuwe tunawaachia wenyewe kama kina mario wa vayle springs hivi na wengine wenye uzoefu. Haya mambo ya kufata majina ooohhh mke wa flani ooohhh mmewe waziri hayana mpango. Watanzania tubadilike,tumezidi kudanganywa unajua mme wnagu alipokua kikazi Ufaransa nilifanya course ya designing...designing my ass....
ReplyDeletewell for sure hapo ni coral beach yaani no kupinga.
ReplyDeletewadau wapendwa. kwa idhini yenu naomba kuufunga rasmi huu mjadala
ReplyDeleteHAPO NI HOTELI YA CORAL BEACH, MASAKI, DAR...
hapo ni nyakiteri bar and guest MUSOMA
ReplyDelete