wadau hapa ni wapi?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hapo ni Mzumbe University, Dar es salaam Campus. Mtaa wa Olympio. Iko mkabala na Kanisa moja ambalo nadhani itakuwa mojawapo ya makanisa mazuri sana hapa Dar kama siyo zuri kupita yote inaitwa City Christian Centre. Issa utembelee kanisa hilo mwezi wa Tisa mwaka huu.

    ReplyDelete
  2. Picha yenyewe inasema kwamba ni Mzumbe University Campus

    ReplyDelete
  3. Michuzi, hapa ni Chuo Kikuu cha Mzumbe.

    ReplyDelete
  4. Michuzi hapo ni Upanga Dar kwenye ofisi za branch ya mzumbe university. nilitembelea hapo nilipokuwa bongo mwakajana.

    ReplyDelete
  5. Mzumbe university, Dar-es-salaam campus!

    ReplyDelete
  6. Michuzi mitaa yako hiyo...:-) Mtaa wa Olympio huo pale palipokuwepo nyumba za NBC walipokuwa wanaishi akina Neema, na mkabala sasa hivi ni kanisa zamani ilikuwa nyumba aliyokuwa akiishi marehemu "Hunter".

    ReplyDelete
  7. huyu kidume mjinga sana yani umeambiwa mzumbe university iko dar wewe leo unasema morogoro kasoro bahari aah baba eeeh, shule muhimu ulikwepa umande wewe inaonekana eeh wewe kidume utampata wapi kijike mjinga mjinga katika karne hii, rudi shule kidume uwe kidume kweli, shule ndo maisha na kusoma detail ni muhimu babake we kidume, yani ume ni kera kupita kiasi aah, issa michuzi sometimes comment za watu kama hawa usiziweke ni aibu tupu.

    ReplyDelete
  8. Si kama amekosea kusema mji kasoro bahari kwani Mzumbe campus iko morogoro na hiyoo iliyoko Dar ni branch yake ambayo imeanzishwa miaka ya karibuni so who is laughing now??????

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...