
miss tz wema sepetu akishiriki katika maonesho ya mitindo ya tanzanite one huko sauzi mwezi uliopita, akiwa amevaa taji lake la umiss ambalo limerembwa kwa madini ya tanzanite. hizo nguo zimetengenezwa na mbunifu mahili bongo mustafa hassanali ambaye habari zake ziko hapa


This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeletehuyu ana sifa ya modelling na sio kuwa miss TZ hapa naona amependeza sana akiwa kama model
ReplyDeleteKasoro: Over-sexed (over-exaggerated) manywele!
ReplyDeleteacheni vijiba vya roho huyu dada ni mzuri sana,,kama ukimtoa huyu labda lisa yule wa tatu wengine heal nooo,,wema ni mzuri sana hat ukibisha roho inakusuta
ReplyDeletekawema kapa kameonekana kacute....kumbe ile style yake ya kuficha kikomwe chake inamharibia zaidi na kuonekana ana komwe zaidi...hapo amependeza japo na nywele zimetutumka saaana sasa hii ndo Bambucha style.....michuzi kwa hisani yako nipe rukhsa nitumie hii picha kwenye blog yangu .
ReplyDeleteJamani muwe mnaelewa kabla ya kuanza kuandika tuu... kwani lazima uandike? Kha!! wewe anony.. wa saamoja na dakika 40, hakuna aliyesema kuwa ni mbaya, ila, uzuri wake si wa quality ya beauty pegeant aliyoingia yeye... she is more to be aah... let me say.. pambo la nyumbani... ukimuona kwa macho halisi utajua nisemalo. Tunahitaji wawakilishi wa kupaisha jina, tatizo kubwa kina Hashim UNCLE Lundega hawachagui judges wanaojua what is needed. Labda hakuna, kama hakuna kwa nini wasichague judges wanaofundishika tutoe jaaapo mabinti wanaokaribia karibia qualities? Mwaka 2005, naamini kulikuwa na judge aliyekuwa na uzoefu.. Mungu amrehemu Adam Awes.. pia ya yule judge maarufu aliyeoa the first black Miss South Africa. Hamuoni tulipofika?... sio saa zote watu wanapoandika maoni huwa wana vijiba... wana mema meeeengi tu.
ReplyDeleteShe is nice yoo, ain't even gonna front.
ReplyDeleteAsante sana anonymous wa Thursday, February 22, 2007 10:48:00 AM,Katika siku zote ulizo ongea leo safi sana nakuunga mkono 100%kabisa.Ninachotaka kuongeza labda nisema kitu kimoja Wema sio mbaya na wala sio mzuri ni wakawaida tu ila tunachowaomba sana kamati ya miss tz ikae chini na kuandika sheria mpya kuhusu tabia za mamiss tz kama mtu akivunja na ni miss basi hana budu kuvuliwa taji.Ni hayo tu jamani.reen_minja@yahoo.com
ReplyDeletejamani kadada ni kazuri tuache utani na wivu kamependeza kweli aliteleza tu na ndio binadamu tulivyo,
ReplyDeletebibie kapendeza we aacha tu !keep it up yoo!
ReplyDeleteKuvuliwa taji kwa utovu wa nidhamu ni wazo zuri ila watavuliwa weeeeeee. Kama unavyojua 99% ya mamiss wana tabia MBAYA...Esp, za kuchanganya wanaume, wata-share, watapigania, watachukuliwa na wanaume group zima, yani almradi mchanganyo tu...
ReplyDeleteHuyu Wema nae nilisikia wakimdiscuss Clouds FM kile kipindi cha asubuhi ishu za kuwa na wanaume lukuki, then after a week or two ghafla naskia anaongelea kuhusu uaminifu kwenye relationship hapo hapo clouds na Gadna, siku walochemsha kuhusu kutojua combination ya CBG..Lah pale ndio nilipowaona ZERO BRAINS!