pamoja na kuburudisha mwanamuziki wa kimataifa wa senegal youssou ndour alitoa zawadi ya vitabu kwa shule mbalimbali za bongo chini ya udhamini wa kampuni ya simu ya celtel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Poa music na Education

    ReplyDelete
  2. huyo Jamaa kavaa je?

    ReplyDelete
  3. we anony wa saa 12:54:00 unauliza jamaa yupi kavaaje?maana kuna jamaa wengi hapo.

    ReplyDelete
  4. du,michuzi,umenikumbusha mbaaaali,huyo anayepokea vitabu ni mwalimu wangu mkuu wa chang'ombe secondary,anaitwa machele,ticha ana vituko huyo,nalikumbuka hilo shati lake lakitenge kumbe bado analo,maana toka mwaka 2002 nilipomuacha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...