kuna mdau katuma ujumbe sasa hivi toka kwa joji kichaka. ila nafurahi kumfahamisha kwamba dvd za 'last king of scotland' ya iddi amin tayari zipo bwelele hapa bongo na machinga wanauza kopi kwa sh. alfu 5 tu za madafu. mimi nimeipata jana na nimeinjoy kweli. hii ndo bongo bwana. kila kitu fasta fasta kama tuko huko...
na sio mbaya ukibofya hapa kupata latesti za mkutano wa kanisa anglikana hapa bongo majuzi

Greetings.
I would like to share with you. If you're not interested with bongo flava just be proud for your lovely country( Tanzania).

Today I came back from class(University of Minnesota) to my apartment around 4:30 PM(ET) USA, and I was watching MTV channel and bare in mind that MTV is amoung the famous TV station in the world.

I couldn't believe my eyes when I saw AY's song (titled "Wanawake watafutaji") on air.Of course I heard it before that Tanzania Videos have been in MTV station, but I thought it is just longolongo za wabongo.

I really enjoyed seeing the Tanzania flag ikiwa juu mpaka mamtoni. It is a cool video, good shooting and well organized.
Some of you, (I guess) u don't know why I am telling you this; Can you imagine when you tell somebody I am from Tanzania, how you're gonna feel when somebody says what is Tanzania? Is that a country? where it is located? I didn't know if there is such a country in this world!! I always feel so weired! How come somebody knows there is a country called Kenya and not Tanzania which is just South of Kenya? and worse thing, some think that Mt. Kilimanjaro is also in Kenya! Ndio I know not all of us( Tanzanians knows all countries in the world) but if you have been there you will know. You can't climb Mt. Kilimanjaro and yet think it's in Kenya!!

Well, Big up to AY and bongo flava in general. Mungu ibariki Tanzania, dumisha uhuru, umoja na uchumi pia. Appreciated for your blog, kwani najua pia unaitangaza Tanzania.

And soon the movie called "Last King of Scotland" itakuwa released hapa USA na kiswahili kimetumika waweza ona Tanzania inako elekea miaka ijayo.
Regards.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 28 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Hizo DVD zinazouzwa na Wamachinga ni pirated

    ReplyDelete
  4. Thanks Michuzi kwa comment yako. Bongo tunapata vitu kabla hata havijawa released!!!! we r up to date, kasoro tu hatuna barabara nzuri na vumbi bado hatujaidhibiti lkn kwa mengine hakuna tofauti na hukooooooo mamtoni!!!

    ReplyDelete
  5. Hey bro being abroad does`nt mean u get assured of every stuff,i watched that move last week on 15th b4 even its premier,uganda ndo wameionyesha kwa mara ya kwanza jpili,nyie mlioko mamtoni mko nyuma sana,zote hata blood diamond ya di caprio,poleni sana huku kila kitu fasta,uliona umetupiga bao,lakini poa umeshow love thats good,movie imetulia sana.KICHOMI

    ReplyDelete
  6. After this POST i had to go back to ma Hard Disk and dig for the VIDEO, Of all Ambwene (or BongoFlava for this matter) Videos, Here are few reasons why if i was MTV VJ i would air this one in Particular:

    1. Quality (Ogapa Djs, the Video Producers huwa hawa messup with qualities)


    2.Pro-Tanzanian(African Values) in the Video set,

    First scene is in DalaDala,

    Then kunawakina mama wanaponda KOKOTO,

    Half of the scene ni za Baharini (Boat not exactl as JayZ's on Show me what u got, But the point is we tried to do the same shoot before he did)

    3.Clothes, rangi za nguo their well cordinated... I like the Ganja shirt and Cap... their so tropical!


    4.Featuring Mama Wangari Maathae... in the lines and showing her Billboard.


    5.This is repetition.... but i got say.... like every second in this video tells something about Tanzania or TZ youth culture in general

    6.The end of the video... See how the beat fall off and the wave style they got,

    7. Last the video phase out message... ati.. "Women are not just made for beauty but much more for stability...., something that will last long" NOT SO SMART BUT IT GET MA ATTENTION WORTH ME TO REWIND & PAUSE... SOMETHING I DONT DO FOR BONGOFLAVA.

    And that Salama Chick on EATV dissed the VIDEO when it came out... I was like who the FUCK is this B?


    Lets respect be given when its due Jamani..... AY knows i hate Bongo Flava but for this one i proclaim BRAVO.. and join me on kumpongea jamaaa mzeeay@hotmail.com


    Pamoja,

    Mbongo

    ReplyDelete
  7. sI UNAONA SASA!ETI KUNA DADA ANADHANI MPAKA UVAE KIUTAMADUNI NDIO MUZIKI WAKO UTAKUBALIKA.aFADHALI UMETOA MFANO HAI,QUALITY NDIO MUHIMU ZAIDI.HAWA VIJANA WANATAFUTA PESA,HAWATANGAZI INJILI WAKITEGEMEA SADAKA.....SALMA UMEIPATA

    ReplyDelete
  8. Mchangiaji from Minnesota, who ever you are. Do not feel embarrassed with other people's ignorance. It is their ignorance that they do not know what or where the peaceful Tanzania is. Come back home and ask a 10 year old kid, he/she will tell you what is USA. If you feel embarrassed you must be ignorant as they are. Feel proud of teaching others about where you come from.

    ReplyDelete
  9. Naungana na mtoa maoni Kibunango wakwanza kabisa,Kwa uelewa wangu sikutegemea kama ungesifia na kununua pirate copy.Umekuwa ukisifia juhudi za wanamuziki katika kutetea maslahi ya kazi zao kwa kufuatilia sheria ya hati miliki lakini inaonekana kwa vitendo inakuwa ngumu.Desturi hii ndio inafanya watu kununua cd za kukopi za wanamuziki ambazo wanamuziki hawafaidiki na mapato hayo halafu kuanza kuwalaumu hawana maendeleo,Sultani Tamba jambo hili amelilalamikia sana. Ni aibu hii

    ReplyDelete
  10. Hey movie mnapata haraka haraka lakini ujue hata hizo ziko nyingi tu huku. Lakini huwezi kuenjoy hiyo movie ndugu yangu. Utamu wa nyama kutafuna sio kumeza tu...Ndio maana kutokana na vifaa vya kuangalia hizo movie watu wanapenda bora kuisubiri mpaka itoke original....

    ReplyDelete
  11. Mbona jamani hata Black Entertainment Television (BET) huwa wanaonyesha Videos za Bongo Flava. Kama kuna mtu ana BET J usikose kuangalia siku za Ijumaa na huwa wanarudia Jumamosi kwenye kipindi chao cha music Passport. Nimeshaona Videos kama She Gotta Gwan- Mangwair, Vailet - Matonya, X-Plastaz na nyingine.

    ReplyDelete
  12. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  13. Nilinunua DVDs kadhaa kutoka kwa wamachinga huko Bongo. Nilipofika huku nilikuwa na shauku kubwa ya kuangalia, bwana eh, mbona nilisikitika? Kwanza katika picha hiyo soundtrack ilikuwa ya kichina, quality ya picha ilikuwa mbaya mno na sound quality ilikuwa mbaya mno hasa nilipowasha amplifier ili nipate dolby sorround...ilibidi niizime haraka, na niweke settings kwenye mono! Kuongeza karaha zaidi, picha ilikwama hata kabla haijafika katikati...sikuweza kumalizia!!

    ReplyDelete
  14. Ukinunua hizo pirate copies hata hiyo sorround system ulinunua huifaidi.

    ReplyDelete
  15. Michuzi na wenzako mnaosagia wa Ughaibuni hamna mpango wowote. Nyinyi wote mnatamani kama mngekuwa mnaishi huku. Mara nyingi tumekuona Michuzi unaposti picha za watu wa Ughaibuni ili ujipendekeze tu. Mara ya mwisho ukaposti picha za wale washikaji waliokupa starehe ulipokuja Newala, eti mkumbukane mawasiliano. Lakini jamaa wamekauka tu, wewe ujiulizi? Maisha ya ujanja ujanja na utapeli Bongo ndio imekuwa fashion.Kuanzia Rais mwenyewe mpaka wamachinga wa mitaani.Bongo haiwezi kuendelea kamwe, itaishia tu kuigiza vitu vya watu.

    ReplyDelete
  16. ndugu mbongo una point nzuri (labda) lakini unaonae kama ungeandika kwa kiswahili tu, maana lugha ya kigeni bado inakusumbua kidogo.

    ReplyDelete
  17. jali home watch cynthia, kweli wa Tz tunajua utu wetu? au ndio kuiga kumepitiza???????
    http://bp1.blogger.com/_stxylFr6jLM/Rd4CnW8U7EI/AAAAAAAABY8/qnXwqXvNuiY/s1600-h/100_0547.jpg

    ReplyDelete
  18. jamani ninyi mnaishi marekani gani? kwanza dvd za wizi hata hapa ATl zipo, zinatoka kabla hata movie haijafika theatre. Ubaya wake ni quality, picha si nzuri na zingine zina vivuli. zipo online wa asia wapo fast wana download na kuwa uzia ninyi. matter of fact kama una Dvd banner, naweza kukupa site uende kuiba.

    ReplyDelete
  19. YAANI! NYOTE KUANZIA MICHUZI MPAKA NYOTE HAPO JUU MNA ANDIKA RUBBISH ALL. SASA WEWE ISSA UNA SIFIA MOVIE IKO MITAANI KAA VILE NI SIFA NCHI YETU INAKUBALI UUZAJI WA MOVIE ZA WIZI? BLOG YAKO NI CHOMBO KINACHOTEMBELEWA NA WATU KIBAO - UNA JUKUMU KUWA RESPONSIBLE KATIKA KAZI NA COMMENTS ZAKO. WAACHIE WADAU MAMBO YA KIPUUZI.

    ReplyDelete
  20. We mtu unayekaa MN uko kwenye maredneck,watu MN hawasafiri zama NY umuulize mtu yeyote TZ lazima ameshawahi kuisikia kama sio kufika.
    US kuna wazungu washamba mno bora U.K wazungu wanakubali diversity.

    ReplyDelete
  21. anony wa Saturday, February 24, 2007 4:07:00 AM, WEWE UMEONGEA LA MAANA HEBU NIPE HIZO SITE NIDOWNLOAD.

    E-MAIL YANGU NI: fredmboma@gmail.com

    ReplyDelete
  22. Tatizo wabongo wanapenda mambo ambayo yamewazidi kimo, kubwa zima linasema eti film wanapata fasta,badala kujiuliza ni vipi mpaka jiji la Dar hakuna maji safi ya bomba,au vipi katika nyumba kumi hapo kinondoni ni moja tu yenye choo na bafu ndani?Bongo bwana watu wamechokaa mbaya sana kazi kusema BONGO ni NY.Pumbaaaaaaaaaaaaaaaafu.

    ReplyDelete
  23. Oyaa huna haja ya kumlaumu Michuzi hapa!! kama si yeye kuleta hiii hoja we ungepata cha ku comment hapa? ungeyajuaje ya AY? nia ya kuleta hoja ni kuchangamsha na kuchokonoa vilivyopo!!! Acha ujinga tunawaabia Movie wanatuibia Almas zetu haya na wewe zikamate huko nasie tutakamata Movie zenu (Maana unajiona ushakuwa Mdhungu).

    ReplyDelete
  24. Piracy na pilated DVD si Tanzania tu, kwanza Tz ni cha mtoto, nenda China, Bangadesh, India, Vietnam. Labda mtu kama hujui maana na globalization ndo unaweza ku-argue otherwise. Ni kweli kuna copyright laws, lakini zinafanya kazi kwenye nchi chache tu, hata US penyewe kwenye cities kubwa na kwa washamba wasiojua IT. Usijiona mjanja kwa kununua original DVD, wakati hiyo DVD with the same quality naweza kuidowload kwenye site ya mchina. Hii movie ya Amini ambayo imezinduliwa juzi Kampala, iko kwenye net na ubora mzuri sanaaa wiki nyingi tu. Anyway, watu inabidi waelimike kuwa kukaa US ndo mwanzo wa mambo yote, sasa hivi mataifa kibao yana-mbeat sanaaa hasa Mchina.

    ReplyDelete
  25. kama watuwengi wanavyosisitiza DVD za wizi zipo, unaeza kudownload online. Kitu ambacho baadhi wanagomba ni Michuzi kuandika hii habari kana kwamba kuiba hizi DVD inaifanya Bongo kuwa bora au ni maendeleo ya kujivunia . Kuhusu USA, wanapitwa kiteknolojia na asia, na hiyo ni toka enzi. Kitu ambacho wanajivunia ni mzunguko wa hela na average life standard. sisi na wachina bado tutakimbilia USA kila kukicha, i mean hata wazungu wa ulaya wanahangaikia visa ya usa , sembuse wewe?

    ReplyDelete
  26. I respect you Mr. Michuzi for your work (photography) and for your efforts to bring it to us via this blog. However, it is disappointing to see you applauding the use/viewing of pirated work. Your Blog says “Copyrighted 2006 @ ISSAMICHIZI. All rights reserved. Then I would have expected that you too would honour the copyrights of your fellow artists.

    And to the guy at Universityof Minnesota,

    1)The Last King of Scotland is playing (started on Friday 23rd, 2007)at the New World Cinema (Mwenge, Dar es Salaam) at TShs 7,000 entrance. (not pirated, and the Mwenge theatres are as good even better that the ones I have visited abroad) Make sure you see the movie; it is very good although most African characters were reduced to simple people who just nod in unison to whatever Iddi Amin says. The Director failed to give the ‘Ugandan’ actors characters that are true reflections of the complexity and confusion that grips a nation of people struggle to survive the horrors of a dictatorship. I commend Forrest Whitaker for his effort in speaking Kiswahili and English the way Amin spoke it taking into consideration he has a very strong British accent. He well deserves the Oscar that he received last night.
    2)Kiswahili has been used in many movies over the years The Last King of Scotland is not the first one to do it. I can recall just a few, “The Ghost and the Darkness”, “Out of Africa”, “The Constant Gardener” and even “The Lion King” etc.

    ReplyDelete
  27. haya wajomba JAMAA sasa aliyecheza hiyo movie Forest Whittaker jana ameshinda OSCAR.

    ReplyDelete
  28. Mh huyu mdau anasema hii muvi The last King of Scotland itakuwa lauched? mmh mimi mara ya mwisho niliiona hapa UK kama mwaka mmoja uliopita huko USA ndo inaanza kuonyeshwa i dont believe nazani huyu mdau labda yeye ndo ataanza kuiona

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...