Home
Unlabelled
kelvin
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mr michuzi kunauwezakano wowote wa kuweza kupata hizi filamu? yaani site ipi zinauzwa
ReplyDeleteahsante
bob
doh namtamani huyu dada nimtie mimba
ReplyDeletemzee hapo juu Ni michezo ya kuigiza hiyo na si film utakuwa disappointed bureeee kama una katuni ni heri utazame au kanywe bia pub tu!!
ReplyDeletehawa jamaa wamenifurahisha jinsi walivyoenda juice na maji.hii ndio style ya kibongo,ya holywood ni wine na champain.ya kibongo ndio nzuri zaidi kwa sababu inaonyesha kuwa unaweza kuenjoy the moment hata ukiwa sober.
ReplyDeletesure thing anon hapo juu, bora ukanywe bia tu kama hunywi na huna cable kucheck cartoons angalia hata jerry springers. hayo maigizo utakuwa unaangalia pumba za watu 6 kwa saa nzima hakuna msisimko kila kitu ni expected normal life on a tv. muvi ina watu sita tu! damn bongo ongeeni basi na wasomi wa mlimani wawatengenezee muvi mgawane nao kidogo toka kijiweni tu eti prodyusa
ReplyDeleteHahahaha...Duh..Unajua muvi inaweza kuwa na watu 6 ila ikawa na akili e.g PANIC ROOM waliact kwenye one single flat, watu watano tu ila it was exciting.
ReplyDeleteSa bongo hapa ni ishu nyingine. Wanaonyesha kitu hata hakina msingi, unaweza ukakuta wanalizoom uwa (a flower) unadhani hili uwa lina nini, kumbe basi tu kupoteza time, wakati wanaweza kuedit wakatoa hiyo part, au hizo juice na maji wanaweza kuzoom kuzionyesha wee ukadhani ina maana flani labda zina sumu, etc, kumbe basi tu, ati madoido...
Tumieni hao actors mlionao, mprodyuz mambo mazuri..Cut all the cliches na muwe mna original ideas, kazi kugeza wanigeria wanavyoact...
Balaa...
Unajua, majitu mengine yamezaliwa yakipinga au kubisha tu mpaka leo bado yanapinga na kubisha tu!. Nyie hata ku-appreciate kitu cha kwenu hamuwezi! Yaani nyinyi ni kuponda kila kitu! Nadhani hata hao wazungu wenu huko majuu mnawalamba visigino na nyayo zao!
ReplyDeleteHii michezo ni ya kuigiza na ni ya Kitanzania. Kila kitu kiko Kitanzania. Mpuuzi mwingine analinganisha mambo ya Holywood, Champagne na Wine... na bongo!???! Hivyo vyote ni fictious, na inawezekana wewe baadhi ya hivyo vitu unaviona tu kwenye systelamboget (Sweden) au supermarket. Bongo juice anakunywa kila kitu na ina-reflect Utanzania. Hii michezo hata babu yako anaweza elewa, siyo Jerry Springer yako! Ndugu zako wanaelewa hiyo, kama siyo kufuatilia vitendo tu!
Bakini na akili zenu zilizozuzu huko! Mtakufa mkibisha na kupinga nyie!
Anon wa mwisho nakuunga mkona kabisa kwa hilo. Taache tabia ya kusifia vya wenzetu tujivunie vyetu huyo anaeyekashfi huenda hata shule hajaenda anabeba maboksi na kuosha vyoo ulaya akirudi bongo anajifanya yeye babukubwa tunawajua wengi wa namna hiyo kashfa wao jadi kwao kwa kuwa hawawezi kitu. Tuangalie mfano wa wenzetu wanaigeria , wagana, wasenegali wanavyotukuza vya kwao. kwa mfano mdogo hao wanaigeria walianza hivyo hivyo taratibu na sasa wameliteka soko la filamu hadi ughaibuni waswahili yaani waafrika wanpenda hizo video zao sana na hauwezi kuzilinganisha na big budget filamu lakini ziko katika mahadhi ya utamaduni wa mwafrika.
ReplyDeleteAfadhali hao watanzania wanaojaribu kuonyesha mwelekeo hivyo hivyo kiugumu ugumu tutafika.
sasa kina nassir na mwanga contact zenu ziko wapi hasa hasa za simu ili tuweke order zetu za kununu hizi movie zenu jamani kuweni shap basi sawa mnapoweka matangazo yenu basi wekeni na contact zenu ili sisi wa huku ughaibuni tupate fur-saa ya kununu hizi dvd zenu sawa, mnatuacha hoi tunakuandikiyeni katika ile e-mail ya bongofilms@gmail.com lakin hamjibu sasa tufanyeje eeh au hamjamaliza kuzitengeneza movie zenu eeh? au hamtaki watu wa ughaibuni wanunue kanda zenu eeh?
ReplyDeletekuweni shap ndugu zangu jamani eeh na michuzi hebu waulize contact zao za uhakika kama hawataki kutoa basi usiweke matangazo yao na kututia hamu na wakati kuikata hamu yetu unashindwa kwa kutuwekea contact za uhakika. sema nao jamaa zako wawe shap bwana sawa kama wanataka kufanya biashara na movie zao zinunuliwe ughaibuni huku ambapo kuna soko kubwa kuliko huko nyumbani.