mwanamazingaombwe pekee wa kike bongo akanashe akiwa kazini. hivi sasa yuko ujeremani kwa ziara ndefu ya maonesho

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. sijawahi msikia huyu, anafanyia wapi maonyesho yake?. na mafunzo aliyapata wapi?

    ReplyDelete
  2. Mimi niko Munich sasa hivi, hawa wako wapi?

    ReplyDelete
  3. dada anavutia kweli, lakini noma, ukimletea siku moja hakawii kuipoteza zana buree.....

    ReplyDelete
  4. huyu dada nadhani namkumbuka nimeshaona onesho lake pale UDSM mwaka jana, ni moto wa kuotea mbali mambo yake ni ya kichina maana kapatia skuli yake huko China, nyie mlioko huku ughaibu ya Ujerumani huyu Michuzi akuelezeni alipo mumuone.

    ReplyDelete
  5. UCHAWI MTUPU ALIONYESHWA ITV

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...