Home
Unlabelled
mbagala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante sana kaka MIM, naiona KTM kama kawaida. Imeokoa mavazi ya kanga ya mtanzania, lakini nasikia kitu inachafua kweli mazingira, mara ya Mwisho Mengi alipotembelea nasikia aliwaagiza warekebishe mifumo yao ya maji machafu sijui kwa sasa hali iko. BTW nafurahi kuona kamteremko cha darajani, hivi hilo daraja litapidi nalo litanuliwe au hapo barabara ita merge na kuendelea na njia mbili baada ya barabara.
ReplyDeleteNatoa hoja
Kwa kuangalia hii picha kweli ni dhahiri nchi yetu ni maskini jamani!! We need to do something!! Mimi the best I can DO kama mtanzania ni KULIPA KODI na kupiga kura-of which i faithfully do! Sasa kama tunaowapa mikoba watuongoze ndo hivyo tena wanaendekeza status quo na ten percent sijui nitachangia nini tena!
ReplyDeleteYaani inasikitisha! Hakuna kiongozi asiyejua karaha ya hii bara bara! Kinachoonekana ni mipango na maneno mazuri!! Si haki kuwa na hii bara bara after all these years of suffering kwa wananchi wa Mbagala!!
Hii wizara ya mipango inapanga nini? kama haiwezi kuwa na priorities? Anyway ngoja tusibiri tuone!! Ila kwa kweli viongozi wetu TZ inabidi wabadilike!! Kwa mwendo huu..hatufiki popote!!! Trust me people. JK must walk the talk and not talk, talk, talk......Kama anatumia kodi zetu kulipana per diem, Haya...Historia itawahukumu! Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu!!
Mbona sielewi hata hii sehemu na mimi niklikwenda kwa father babu...enzi za brother masabo miaka hiyo.....???
ReplyDeleteAsante sana michuzi kwa kuonyesha maeneo ya wilaya ya Temeke hasa Mbagala, ambayo mara nyingi hayapati nafasi sawa kwenye blog yako ukilinganisha na maeneo ya Ilala na Kinondoni.
ReplyDeleteMimi ni mkazi wa Mbagala. Na hiyo barabara mpya ni mkombozi wetu wakazi wa maeneo ya Mbagala zote!
I can see my way to brother masabo them old days. Standing in a daladala wondering what Turuka will be up to.
ReplyDelete